mpe kichapo had akufungulie facebook account yake
mpe kichapo had akufungulie facebook account yake
Ngojea ninyooshee ukweli naojua mimi..
Sisi wanaume tuna tatizo sana nadhani Mie nilikuwa Kiongozi. Hakuna kitu inayomuuma mbaba kama kusikia mwanamke anayemwita mkewe kuna watu wanampandia huwa inauma zaidi ya uchungu Wa pakanga- frankly it pains a lot.
Mie nilipatwa Na maumivu hadi yakanipa wakati mgumu, ukichukulia mywife anafanya Kazi Za night shift Basi balaa, ukichukua cm yake utachoka, ukiendesha Na Kufanya Suprise visit ofcn kwake mid-night sometimes unakuta hayupo cm off. Nikapiga mkwara aache job naye akachimba bit Kama vipi nitoe talaka.
Sometime niliwaza kufanya vinasaba (DNA) Kwa Watoto to identify whether I am the real fadher. Nikachukua doc Kwa mwanasheria msobe Msobe hadi Ocean-Road hsp Kwenye dpt yake but on the way nikawaza how if I found SIO itakuwavipi Na jinsi navyowapenda wanangu can I handle?. Nakaachilia mawazo ile.
Nilishaorganize ndugu zake Na wazazi wanisaidie waowenyewe walichemsha. Imagine unafanya Suprise visit mid-night, kisha wanakwambia mkeo Leo yuko off au shift yake ni mchana Na SIO Mara moja Wala mbili , ukimuuliza simple anakujibu usimfuatilie Na Kazi . Ukiwaza kumpiga chini unawazia pia mstakabali wa Watoto Na heshima yako Mbele ya jamii.
Sina nia ya kukwambia my things Bali tu elewa unaposikitikia jambo wengine walishalia machozi ya Damu. Then lastly I got an idea, Kwamba Kama wanaume wenzangu wanachonga penseli zao humo kwani kichongeo wanakivunja? Waache wachonge wapendavyo maadam kichongeo Kina nguvu ok. Hapo nikawa flexible, nakumbuka was 2008. Then from that time nikapush Kwenye maendeleo sikuwa Na stress tena
Nilitamani nimpe huu ukweli. Najua ntashambuliwa lkn ndo ukweli. Never trust a woman, never lean on a woman, utaua, utajiua. Muheshimu na umdharau pia. Mfanye Quencher wako tu. sio Ndugu yako huyo. Asikuumize kichwa agongwe hata na mbwa achana nae, ameshindwa kujiheshimu huyo, hakuna sababu ya kuomboleza. Tena huna Mtoto nae tabu ya nini? Lkn jitazame nawe pia Kama kuna. Sehemu umetetereka, je ni ufundi?, je ni pesa?, j e ni jeuri, mpenzi hamna? Jipime Kama hujabadilika mi plainly nakuambia it's your right time to party, if no rekebisha ulinde heshima ya vigelegele vyetuKwanza awali ya yote nisingependa kutukanwa au kukebehiwa na mtu hapa, ni saa tisa usiku sasa sijalala nawaza sana juu ya ndoa yangu. Machungu noliyonayo ni zaidi ya machozi ya damu. Kabla ya kuomba msaada nieleze kisa kwanza.
Mimi ni mwanaume mwaminifu sana ambaye sijui mke wa nje kabla ya kuoa na baada ya kuoa miaka 3 sasa. Katika muda huu hatujafanikiwa kupata mtoto baada ya mimba ya kwanza kuharibika. Nilikuwa nampenda sana mke wangu kwa muda wote wa ndoa lakini kumbe ni mzinzi. Sipendi nimdhuru yeye, wala hawala yake wala maisha yake lakini siwezi kuishi na mke anayetoka nje ya ndoa, uchunguzi wa awali umenihakikishia unyama anaonifanyia lakini nahitaji vithibitisho kwa kufikia uamuzi wa kuvunja ndoa.
Msaada: naomba watalaam wa ICT wanisaidie haya
1.Wanifundishe kuhackle akaunti ya facebook ya mke.wangu.
2. Kutrack sms, simu na location ya simu ya mke wangu.
Najua ni makosa kisheria lakini nahitaji kupata hizi data ili zinisaidie kumdaka na kupata ushahidi wa wazi. Mpaka siku nilipojua siwezi tena kuishi na mwanamke huyu zaidi ya hapo nitakuja kumchinja usiku bure.
Naomba niwasilishe hoja, lakini kabla hujacomment fikiria nimeteseka sana na maumivu usiku kucha, sina mtu wa karibu wa kumpa suala langu zaidi nikaona nitupie hapa JF, hebu sasa heshimu mawazo yangu ukoment kitu cha maana na nisingependa ushauri wa ndoa zaidi naomba ujuzi huo hapo juu.
Majaribu2013 hoi kitandani Dar salama.
umepata wapi hekima hii na miujiza hiiWale wataalamu wa ICT tafadhali kama mnampenda ndugu yenu msisaidie katika hili, maana kama hajapata ushahidi yuko hoi kitandani, akiupata ushahidi si ndio tutasikia yuko ICU?.
Vry true na mimi naona hapa kuna kitu huyu dda kinamsumbua..ndio anatafuta kupunguza mawazo.Pole sana ila mimi sitaki kumjudge moja kwa moja maana nna wasiwasi na chanzo cha tatizo.
Una uhakika wewe au nduguzo hamumblaim kwa kukosa kwenu mtoto?je una uhakika hujapunguza mapenzi kwake kwa sababu hiyohiyo?what i think kuna possibility kubwa yupo desperate na inachangiwa na jamii inayomzunguka inavyomtreat
Kuwa desperate ni kubaya sana labda amepata mtu anamfariji and it happen like its all she need ni kama wewe ulivyo na deep anguish right now trust me kama hauko makini akitokea mwanamke akaanza kukufariji yani utakavyoangukia kwake mzimamzima hutojitambua
Ni wanawake wachache sana wanaocheat bila sababu wengi wao huo maji yanakuwa yamewafika shingoni
Nilitamani nimpe huu ukweli. Najua ntashambuliwa lkn ndo ukweli. Never trust a woman, never lean on a woman, utaua, utajiua. Muheshimu na umdharau pia. Mfanye Quencher wako tu. sio Ndugu yako huyo. Asikuumize kichwa agongwe hata na mbwa achana nae, ameshindwa kujiheshimu huyo, hakuna sababu ya kuomboleza. Tena huna Mtoto nae tabu ya nini? Lkn jitazame nawe pia Kama kuna. Sehemu umetetereka, je ni ufundi?, je ni pesa?, j e ni jeuri, mpenzi hamna? Jipime Kama hujabadilika mi plainly nakuambia it's your right time to party, if no rekebisha ulinde heshima ya vigelegele vyetu[/QUOTE ] nanikakwambia kaka yangu..hapa ukitaka wanawake tusimulie mikasa yetu mnaweza mkalia huku mnasoma uzi.mtu anakufanyia vitendo live na anakwambia mke wangu nisamehe,ukiona mwanamke mpka anatoka nje ujue kuna kitu kinamsumbua sana..lazima huyu kaka anajua si tumesikia upande mmoja tu..uwe na heshima na wanawake usione tunatembea barabarani tunamengi sana..
Mh! Hata kama ukiweza kuvumilia ivo bado watoto watakuwa ktk mazingira mengine tena magum zaidi kwani hujui huko nje anakocheza kama kuko salama kwani kwa hali ya magonjwa ya sasa imagen yakawapata na mwisho wa siku mkaaga dunia hao watoto mtawaacha ktk mazingira gani? Je yatakuwa bora kuliko yale ya mzazi mmoja ama ya kutokuwa na mzazi hata mmoja? Iloko mkuu fikiria mara 2 huo uamuzi wako!
kaka kama kweli ulikuwa hujakutana na mwanamke kabla ya huyo na baada yake' jitahidi kupata ushauri kwa watu walio na uzoefu wa mambo hayo lkn sii uamzi unaotaka kuchukua huenda hata huyomkeo hajatoka nje ila anataka kutoka kwa kuwa kuna vitu anavitafuta havipati kwako na hata kama ukioa mwingine kama hujajua tatizo utaacha tena na tena na tena jitahidi kutafuta namna ya kumfanya mkeo awaone wenginene sii kitu lasivo utaoa sana.maana ya ngu hasa ni kuwa je mkeo unamfikisha; au unampa misosi tu halafu unamwacha anahangaika? Nawasilisha.