Nataka kuvunja ndoa msaada wa ICT plz.

Nataka kuvunja ndoa msaada wa ICT plz.

Majaribu2013 ukitaka ushahidi wa hivyo ni lazima ukubali gharama, kwanza kwa kumnunulia cm ya kisasa inayoweza kubeba hiyo program kisha na wewe uwe na cm yenye uwezo huo kisha ununue hiyo program na kuiweka kwenye cm yako na mkeo then hapo unaweza kumonitor matumizi ya cm yake lakini ikiwa atakuwa hajui kama unammonitor.
 
Last edited by a moderator:
mmmmh, pole sana mkuu ila hapo ulipofika inatosha sijui unataka ushahidi wa nini tena.
 
Tunaoa basi tu nafikiri ni ufahali wa kijinga haiwezekani wanawake wawe hivi then tuwavumilie.................

si ndio mambo ya viapo hayo kwa shida na raha. shida zenyewe ndio kama hizi.
 
Kama ana simu ya mfumo wa android ichukue na install find my friend kwenye handset yake kupitia 91 luncher naku hide kutoka menu. hizi zote uta download through google pray ni free. na pia utazi download kwako na kuziunganisha pia uta hide notification kwenye cm yake. Pole sana

1.Kama hana simu ya namna hiyo amnunulie amwache nayo muda mrefu
2.akutafute kwa ku pm umwele
 
Kuna wanaume wana moyo aiseeeee......it takes so much kuwa na this kind of thinking......

huyo mkeo kweli PASUA KICHWA......

Nope! She is that way coz she isnt an angel. Pengine kitandani mzuri, pengine si mpiga mizinga kama wengine, pengine si mchafu, au anajua kupika, lakini hii ni weakness ya asili au ya kukopi!
Atafute namna nyingine ya kukabiliana naye, akijikagua na yeye. Something must be wrong somewhere!
 
Pole sana ndugu yangu ,pole sana ,hapo ulipoweza kugundua anakucheat hapo hapo anzia kutafuta evidence
sijui unasubiri nini kwenye hiyo ndoa hakia Mungu kuuwawa na ukimwi?

Dada Nivea suppose UKIMWI usingekuwepo? Unadhani hoja ya kuvunja ndoa isingekuwepo kwavile hakuna kuuana? Yaani msaliti aendelee kuvumiliwa?
 
ndo maana nikasema nahitaji ushahidi wazi yaani fumanizi

Kaka kama kweli ulikuwa hujakutana na mwanamke kabla ya huyo na baada yake' jitahidi kupata ushauri kwa watu walio na uzoefu wa mambo hayo lkn sii uamzi unaotaka kuchukua huenda hata huyomkeo hajatoka nje ila anataka kutoka kwa kuwa kuna vitu anavitafuta havipati kwako na hata kama ukioa mwingine kama hujajua tatizo utaacha tena na tena na tena jitahidi kutafuta namna ya kumfanya mkeo awaone wenginene sii kitu lasivo utaoa sana.maana ya ngu hasa ni kuwa je mkeo unamfikisha; au unampa misosi tu halafu unamwacha anahangaika? Nawasilisha.
 
Tunaoa basi tu nafikiri ni ufahali wa kijinga haiwezekani wanawake wawe hivi then tuwavumilie.................

Kaka kabla ya kuingia katika ndoa lazima ujiulize unaoa ili iweje na nu yapi ya muhimu katika ndoa? Sio tu kwa sababu una kipato na unaweza tu kumlisha ukakurupuka' mwanamke anahitaji zaidi ya chakula na mavazi kama ww mwanaume unapofikia hatua kutafuta nyumba ndogo inamaana huenda umeona madhaifu ya mkeo na mbaya zaidi hatuna desturi wala muda wa kukaa na kuulizana kuhusu mambo haya ya ndoa kila mtu na namna yake. Bila kujali mwenzio anafurahia namna unavyotenda au laa!
 
Majaribu naomba kwanza utupe uhuru wa tushauri, tunajua maumivu yako, kama mwanamke i feel sorry for you. Wengine tunatafuta waaminifu kama wewe tunaishia kuanguka mikononi mwa simba.

Sasa basi naomba nijue kitu kimoja, wewe unatafuta kuhuck simu yake, facebook kwa nini? Mpaka unakuja hapa nilitegemea unatupa message hata moja iliyokufanya wewe kufikiria hayo kwamba unaibiwa au hata dialled number nyingi per day inayokupelekea kuwa na wasi wasi?

Kama kiroho uko safi, funga siku tatu huna haja ya kutafutana na mafacebook wala nini mungu atakupa jibu. Miaka uliyokaa na mkeo hamna watoto, shetani anatumia hiyo chance ili wewe uwe chanzo cha kuachana kwenu, but mshinde kwa neno!!

Sorry if i have offended you, angalia mifanyo ya waliopita kwneye matatizo kama yako, wao wana evidence wewe huna ndiyo utafuta. Ebu acha kumpa shetani ushindi kirahisi wewe! Mungu akutie nguvu sana.
 
Na kama hana amnunulie kama zawadi; huku ameshai set...

Ninashangaa sana nikisikia mwanamke mzinzi...na ninapata shaka kuwa atakuwa alioa kiruka njia bila yeye kujua...wrong choice.

Kama ana simu ya mfumo wa android ichukue na install find my friend kwenye handset yake kupitia 91 luncher naku hide kutoka menu. hizi zote uta download through google pray ni free. na pia utazi download kwako na kuziunganisha pia uta hide notification kwenye cm yake. Pole sana
 
Nilikuwa nawaza hivyo hivyo...kuwe na ukimwi au hakuna binadamu tumeumbwa selfish...hakuna aliye tayari kuchangia...hata zamani wivu ulikuwepo na hakukuwa na ukimwi.

Dada Nivea suppose UKIMWI usingekuwepo? Unadhani hoja ya kuvunja ndoa isingekuwepo kwavile hakuna kuuana? Yaani msaliti aendelee kuvumiliwa?
 
Ngojea ninyooshee ukweli naojua mimi..
Sisi wanaume tuna tatizo sana nadhani Mie nilikuwa Kiongozi. Hakuna kitu inayomuuma mbaba kama kusikia mwanamke anayemwita mkewe kuna watu wanampandia huwa inauma zaidi ya uchungu Wa pakanga- frankly it pains a lot.

Mie nilipatwa Na maumivu hadi yakanipa wakati mgumu, ukichukulia mywife anafanya Kazi Za night shift Basi balaa, ukichukua cm yake utachoka, ukiendesha Na Kufanya Suprise visit ofcn kwake mid-night sometimes unakuta hayupo cm off. Nikapiga mkwara aache job naye akachimba bit Kama vipi nitoe talaka.

Sometime niliwaza kufanya vinasaba (DNA) Kwa Watoto to identify whether I am the real fadher. Nikachukua doc Kwa mwanasheria msobe Msobe hadi Ocean-Road hsp Kwenye dpt yake but on the way nikawaza how if I found SIO itakuwavipi Na jinsi navyowapenda wanangu can I handle?. Nakaachilia mawazo ile.

Nilishaorganize ndugu zake Na wazazi wanisaidie waowenyewe walichemsha. Imagine unafanya Suprise visit mid-night, kisha wanakwambia mkeo Leo yuko off au shift yake ni mchana Na SIO Mara moja Wala mbili , ukimuuliza simple anakujibu usimfuatilie Na Kazi . Ukiwaza kumpiga chini unawazia pia mstakabali wa Watoto Na heshima yako Mbele ya jamii.

Sina nia ya kukwambia my things Bali tu elewa unaposikitikia jambo wengine walishalia machozi ya Damu. Then lastly I got an idea, Kwamba Kama wanaume wenzangu wanachonga penseli zao humo kwani kichongeo wanakivunja? Waache wachonge wapendavyo maadam kichongeo Kina nguvu ok. Hapo nikawa flexible, nakumbuka was 2008. Then from that time nikapush Kwenye maendeleo sikuwa Na stress tena

dah! kwa hii yako nadhani Majaribu2013 hana haja ya kuwa hoi kitandani, hey kaka Majaribu2013 amka we umopona tayari kilichobaki zamu yako kumshauri kaka MKWELItu kwamba ile kitu si kichongeo na ikiwa ndani ya ndoa inakuwa na hati-miliki na sio suala la kila mtu kuchonga tuuu..
 
Uchawi upo...kuna jirani yangu alikuwa zaidi yako...lakini sasa hivi mkewe ameshafariki yeye anasubiri muda huku anazidi kupanda vyeo masikini wa Mungu...

Kila mtu alikuwa anashangaa jamaa kapewa nini na mkewe...tena mke wake elimu ndogo sana

Ngojea ninyooshee ukweli naojua mimi..
Sisi wanaume tuna tatizo sana nadhani Mie nilikuwa Kiongozi. Hakuna kitu inayomuuma mbaba kama kusikia mwanamke anayemwita mkewe kuna watu wanampandia huwa inauma zaidi ya uchungu Wa pakanga- frankly it pains a lot.

Mie nilipatwa Na maumivu hadi yakanipa wakati mgumu, ukichukulia mywife anafanya Kazi Za night shift Basi balaa, ukichukua cm yake utachoka, ukiendesha Na Kufanya Suprise visit ofcn kwake mid-night sometimes unakuta hayupo cm off. Nikapiga mkwara aache job naye akachimba bit Kama vipi nitoe talaka.

Sometime niliwaza kufanya vinasaba (DNA) Kwa Watoto to identify whether I am the real fadher. Nikachukua doc Kwa mwanasheria msobe Msobe hadi Ocean-Road hsp Kwenye dpt yake but on the way nikawaza how if I found SIO itakuwavipi Na jinsi navyowapenda wanangu can I handle?. Nakaachilia mawazo ile.

Nilishaorganize ndugu zake Na wazazi wanisaidie waowenyewe walichemsha. Imagine unafanya Suprise visit mid-night, kisha wanakwambia mkeo Leo yuko off au shift yake ni mchana Na SIO Mara moja Wala mbili , ukimuuliza simple anakujibu usimfuatilie Na Kazi . Ukiwaza kumpiga chini unawazia pia mstakabali wa Watoto Na heshima yako Mbele ya jamii.

Sina nia ya kukwambia my things Bali tu elewa unaposikitikia jambo wengine walishalia machozi ya Damu. Then lastly I got an idea, Kwamba Kama wanaume wenzangu wanachonga penseli zao humo kwani kichongeo wanakivunja? Waache wachonge wapendavyo maadam kichongeo Kina nguvu ok. Hapo nikawa flexible, nakumbuka was 2008. Then from that time nikapush Kwenye maendeleo sikuwa Na stress tena
 
Kaka kama kweli ulikuwa hujakutana na mwanamke kabla ya huyo na baada yake' jitahidi kupata ushauri kwa watu walio na uzoefu wa mambo hayo lkn sii uamzi unaotaka kuchukua huenda hata huyomkeo hajatoka nje ila anataka kutoka kwa kuwa kuna vitu anavitafuta havipati kwako na hata kama ukioa mwingine kama hujajua tatizo utaacha tena na tena na tena jitahidi kutafuta namna ya kumfanya mkeo awaone wenginene sii kitu lasivo utaoa sana.maana ya ngu hasa ni kuwa je mkeo unamfikisha; au unampa misosi tu halafu unamwacha anahangaika? Nawasilisha.

Exactly!!!!
 
Dada Nivea suppose UKIMWI usingekuwepo? Unadhani hoja ya kuvunja ndoa isingekuwepo kwavile hakuna kuuana? Yaani msaliti aendelee kuvumiliwa?
UKIMWI sio sababu pekee ya kuvunja ndoa, kuvunjika kwa ndoa kulikuwepo hata kabla ya ugonjwa huo
 
Kama ingekuwa suala lingine ningekueleza namna ya kuhack facebook account,but kwa ajili ya kuvunja ndoa?no hapana HAPANA

Ahsante Mkuu kwa kumsaidia, siyo tu kuvunja bali anaweza hata kuua...
 
Inauma sana kuona mahali unapo chovya kihalali then anatokea mtu from no where naye anachovya kiwizi wizi, hapo shingo alali yako.
 
unasema usaidiwe namna ya kuhack fb account yake na sms zake LAKINI pia unasema huku ndo umepata hayo maelezo ya kusaltiwa...niweke sawa kwanza kwenye hili mkuu
 
Lazima atakua na routine ya kukutana na mtu wake muhimu ufahamu siku hizo,tafuta kijana wa bodaboda amfuatilie kwa siri siku hizo,kijana atakua anakupa direction!Utamnasa tuu
 
Back
Top Bottom