Nataka kuvunja ndoa msaada wa ICT plz.

Nataka kuvunja ndoa msaada wa ICT plz.

pole kwa hayo! najua upendo unavyokuwa mwingi ndivyo utakavyoumia pale unapohisi unadhulumiwa, sijui mkeo ulimwoa ktk mazingira gani lakini ni vyema ukatoa ya moyoni kwa kumweleza wasiwasi wako la sivyo utaendelea kuumia kimyakimya. kama alikuwa anajaribu akifikiri hujui atajirekebisha, lakini kama amekubuu ndio kwanza utaona vituko zaidi. usifikirie sana nje kwani kila mwanamke anashida zake.
 
Ngojea ninyooshee ukweli naojua mimi..
Sisi wanaume tuna tatizo sana nadhani Mie nilikuwa Kiongozi. Hakuna kitu inayomuuma mbaba kama kusikia mwanamke anayemwita mkewe kuna watu wanampandia huwa inauma zaidi ya uchungu Wa pakanga- frankly it pains a lot.

Mie nilipatwa Na maumivu hadi yakanipa wakati mgumu, ukichukulia mywife anafanya Kazi Za night shift Basi balaa, ukichukua cm yake utachoka, ukiendesha Na Kufanya Suprise visit ofcn kwake mid-night sometimes unakuta hayupo cm off. Nikapiga mkwara aache job naye akachimba bit Kama vipi nitoe talaka.

Sometime niliwaza kufanya vinasaba (DNA) Kwa Watoto to identify whether I am the real fadher. Nikachukua doc Kwa mwanasheria msobe Msobe hadi Ocean-Road hsp Kwenye dpt yake but on the way nikawaza how if I found SIO itakuwavipi Na jinsi navyowapenda wanangu can I handle?. Nakaachilia mawazo ile.

Nilishaorganize ndugu zake Na wazazi wanisaidie waowenyewe walichemsha. Imagine unafanya Suprise visit mid-night, kisha wanakwambia mkeo Leo yuko off au shift yake ni mchana Na SIO Mara moja Wala mbili , ukimuuliza simple anakujibu usimfuatilie Na Kazi . Ukiwaza kumpiga chini unawazia pia mstakabali wa Watoto Na heshima yako Mbele ya jamii.

Sina nia ya kukwambia my things Bali tu elewa unaposikitikia jambo wengine walishalia machozi ya Damu. Then lastly I got an idea, Kwamba Kama wanaume wenzangu wanachonga penseli zao humo kwani kichongeo wanakivunja? Waache wachonge wapendavyo maadam kichongeo Kina nguvu ok. Hapo nikawa flexible, nakumbuka was 2008. Then from that time nikapush Kwenye maendeleo sikuwa Na stress tena

duh, yataka moyo!
 
Kwa hiyo hamshiriki tendo?
 
Kwanza awali ya yote nisingependa kutukanwa au kukebehiwa na mtu hapa, ni saa tisa usiku sasa sijalala nawaza sana juu ya ndoa yangu. Machungu noliyonayo ni zaidi ya machozi ya damu. Kabla ya kuomba msaada nieleze kisa kwanza.

Mimi ni mwanaume mwaminifu sana ambaye sijui mke wa nje kabla ya kuoa na baada ya kuoa miaka 3 sasa. Katika muda huu hatujafanikiwa kupata mtoto baada ya mimba ya kwanza kuharibika. Nilikuwa nampenda sana mke wangu kwa muda wote wa ndoa lakini kumbe ni mzinzi. Sipendi nimdhuru yeye, wala hawala yake wala maisha yake lakini siwezi kuishi na mke anayetoka nje ya ndoa, uchunguzi wa awali umenihakikishia unyama anaonifanyia lakini nahitaji vithibitisho kwa kufikia uamuzi wa kuvunja ndoa.

Msaada: naomba watalaam wa ICT wanisaidie haya
1.Wanifundishe kuhackle akaunti ya facebook ya mke.wangu.
2. Kutrack sms, simu na location ya simu ya mke wangu.

Najua ni makosa kisheria lakini nahitaji kupata hizi data ili zinisaidie kumdaka na kupata ushahidi wa wazi. Mpaka siku nilipojua siwezi tena kuishi na mwanamke huyu zaidi ya hapo nitakuja kumchinja usiku bure.

Naomba niwasilishe hoja, lakini kabla hujacomment fikiria nimeteseka sana na maumivu usiku kucha, sina mtu wa karibu wa kumpa suala langu zaidi nikaona nitupie hapa JF, hebu sasa heshimu mawazo yangu ukoment kitu cha maana na nisingependa ushauri wa ndoa zaidi naomba ujuzi huo hapo juu.

Majaribu2013 hoi kitandani Dar salama.
ukijua kuhackle itakusaidia nini zaidi ya kuumia tu!kwani una ushahidi wowote kuhusu hayo unayosema?kama ushahidi unajitosheleza basi chukua hatua sitahili,pole sana mkuu
 
Haya mtaalam nimekuja nisikilize:- nenda baraza la kata la usuluhishi ukifika waambie ana kiburi akapumzike kwao miezi sita na uwe msimamo baada ya hapo ikiisha miezi sita mnarudi baraza la kata unasema sina imani naye kabisa na upendo kwake umeisha kabisa nataka nimpe taraka watakuandikia barua uende mahakama ya mwanzo.Ukifika mahakamani waambie upendo kwake umeisha kwani wakati tunafanya mapenzi usiku huwa ananifyonya na kusema mimi si mwanaume jambo hili huwa hawahitaji ushahidi hasa yale ya kwenye sita kwa sita watatoa taraka ila ukubali moja mali mtagawana kama vipi tafuta namna poteza hiyo mali kabla hujaanza tifu zote hizi.unajua mwizi wa mbuzi ukimsingizia kaiba kuku si tatizo sana uatashinda kesi na ukishinda kesi uje unipe tsh 10000 tu. afu siku nyingine haya mambo peleka kule mahusiano na mapenzi
 
nataka kutrack movement zake na kumnasa fumanizi. Namfahamu mpaka mtu anayemchukua. Na nimeshuhudia mengi yaani kwa kifupi sijakurupuka na sina tabia ya kukurupuka kwani sasa ni miezi 3 natafuta uthibitsho wa awali.

kamanda mpaka hapo!! Muombe sorry2 mkeo maisha yasonge ingawa yy ndo anacheat unataka hadi uone mkeo anavyoatazamishwa dari? Utangoja sn na mwisho wa cku unaweza kufumania lkn ukachapwa na huyo mgoni wako! Utajuta zaidi mkeokamegwa naww umechapwa du!
 
Muombe MUNGU akufunulie na kukuonyesha........... Luka 12:2 inasema "Maana hakuna neon lililositirika ambalo halitafunuliwa, wala lililofichwa ambalo halitajulikana" Mungu ni mwaminifu anajibu. Ila pole sana
 
mkuu nimefatilia huu uzi toka saa 9 alfajir(nilishindwa hata kutoa ushauri) na nimeona umefika mpaka asubuh means hujalala kabsa leo, pole saana..
nahisi nmesikia uchungu hata zaid yako ww!!!! cjaoa bado na kwa mkasa huu nmeogopa hata kuoa ka mambo menywe ndo yako hvyo.. acha nikae kimya watu wazima zaidi watoe ushauri
 
mkuu nimefatilia huu uzi toka saa 9 alfajir(nilishindwa hata kutoa ushauri) na nimeona umefika mpaka asubuh means hujalala kabsa leo, pole saana..
Nahisi nmesikia uchungu hata zaid yako ww!!!! Cjaoa bado na kwa mkasa huu nmeogopa hata kuoa ka mambo menywe ndo yako hvyo.. Acha nikae kimya watu wazima zaidi watoe ushauri

acha woga kjana wazee wako wangekuwa na mawazo km hayo ucngekuwa jf hapa! Ukisema umri bado ntakuelewa!
 
Kweli ni maumivu makubwa. Sihitaji kupata hatua zote ulizopitia kufanya uchunguzi wako na kisha kubaini hayo. Wala sihitaji kujua baada ya kubaini hivyo umesema naye nini, bali nesema hivi, japo inaweza onekana ni haraka mno ukilinganisha na ukubwa wa jambo ambalo wewe mwenyewe umetoa maangalizo makali ya kwamba mdau yeyote anayetaka kutoa ushauri kwanza afikiri na asilete manoneo ya upuuzi kwani imekuumiza sana. Kwa hali hiyo hata mimi nakuunga mkono. Nitangulie kusema kila jambo lina mwisho na kesi zote huisha hata ya mauaji pia hufikia ikaisha. Natambua hasira uliyonayo ni kubwa ungependa kupata jibu la haraka na utekelezaji wake ukafanyika mara moja ili kuiponya nafsi yako. Upo msemo usemao "Mambo huja kwa watu na siyo kwenye miti" Sitakuwa na maelezo ya kufafanua maana ya msemo huu kwa sasa. Lakini nashauri kuwa vuta subira na usitake sana kujua mambo yote mabaya ya mke wako wa ndoa ya nyuma baada ya hili unalodai umelibaini. Sijui mpaka sasa umefanya nini. lakini napenda kusema kuwa subira yavuta heri. Natambua maumivu lakini bado nasisitiza subira yavuta heri na tena naongeza jambo ambalo pingine laweza kukumiza lakini ndiyo mchakato wenyewe, kwamba MSAMAHA ni muhimu sana katika maisha ya wanandoa. Nachelea kusema muda umeniishia. Nitarejea baadaye Mungu akipenda.
 
Hata ukimtrack ukichukua mwingine utamtrack pia.. ushauri mdogo tu rudi nyuma kumbuka ni wapi ulilegea..OKOA NDOA YAKO
 
Mpaka ndoa kuvunjwa inahitaji ushahidi mkubwa sana wa kuonesha kuwa haiwezi lekebishika. Hakikisha unamkamata ugoni ili iwe raisi kwako.
Nb: umeisha wai fikiria jinsi mtakavyo gawana mali mlizo chuma baada ya ndoa???

Mkuu, pole sana. Ila huyu mdau amekupa point muhimu sana umeshaiwaza hiyo?
Je mna watoto?? Umejiandaaje kuwalea???
 
Kwanza awali ya yote nisingependa kutukanwa au kukebehiwa na mtu hapa, ni saa tisa usiku sasa sijalala nawaza sana juu ya ndoa yangu. Machungu noliyonayo ni zaidi ya machozi ya damu. Kabla ya kuomba msaada nieleze kisa kwanza.

Mimi ni mwanaume mwaminifu sana ambaye sijui mke wa nje kabla ya kuoa na baada ya kuoa miaka 3 sasa. Katika muda huu hatujafanikiwa kupata mtoto baada ya mimba ya kwanza kuharibika. Nilikuwa nampenda sana mke wangu kwa muda wote wa ndoa lakini kumbe ni mzinzi. Sipendi nimdhuru yeye, wala hawala yake wala maisha yake lakini siwezi kuishi na mke anayetoka nje ya ndoa, uchunguzi wa awali umenihakikishia unyama anaonifanyia lakini nahitaji vithibitisho kwa kufikia uamuzi wa kuvunja ndoa.

Msaada: naomba watalaam wa ICT wanisaidie haya
1.Wanifundishe kuhackle akaunti ya facebook ya mke.wangu.
2. Kutrack sms, simu na location ya simu ya mke wangu
.

Najua ni makosa kisheria lakini nahitaji kupata hizi data ili zinisaidie kumdaka na kupata ushahidi wa wazi. Mpaka siku nilipojua siwezi tena kuishi na mwanamke huyu zaidi ya hapo nitakuja kumchinja usiku bure.

Naomba niwasilishe hoja, lakini kabla hujacomment fikiria nimeteseka sana na maumivu usiku kucha, sina mtu wa karibu wa kumpa suala langu zaidi nikaona nitupie hapa JF, hebu sasa heshimu mawazo yangu ukoment kitu cha maana na nisingependa ushauri wa ndoa zaidi naomba ujuzi huo hapo juu.

Majaribu2013 hoi kitandani Dar salama.
inavyo onekana wewe unasumburiwa na wivu tu unahisi kama unaibiwa na kama unaibiwa hauna uhakika kama kweli unaibiwa.pole sana
 
pole sana mkuu,Naomba ujiulize swali Moja Utaacha wangapi? Kiimani navyo amini mimi huwezi kumiliki wako peke yako dunia ya leo,chungu lakini ndivyo ilivyo Binafsi janga la namna hiyo lilisha nitokea nyumbani kwangu nikamfaata Babu yangu mzaa Baba kutaka hekima zake namna ya kujitoa kwenye Ndoa yangu kutokana na hali ilivyo,Jibu alilo nipa aliniambia kama utaweza kumuacha huyo Mwanamke basi usije kuoa tena,vinginevyo ni bora uendelee nae ni ngumu sana kupata wako wa peke yako,akanitolea mfano wa Maisha yake akisema yeye alisha oa na kuacha wanawake watatu kwa sababu hio hiyo ya kumegewa na hata huyu wa nne alie nae mpaka sasa alisha mgundua kuwa anatoka nnje ya ndoa yao,ilikua ni mwaka majuzi lkn story yake ilinifundisha mengi sana
 
Kwanza awali ya yote nisingependa kutukanwa au kukebehiwa na mtu hapa, ni saa tisa usiku sasa sijalala nawaza sana juu ya ndoa yangu. Machungu noliyonayo ni zaidi ya machozi ya damu. Kabla ya kuomba msaada nieleze kisa kwanza.

Mimi ni mwanaume mwaminifu sana ambaye sijui mke wa nje kabla ya kuoa na baada ya kuoa miaka 3 sasa. Katika muda huu hatujafanikiwa kupata mtoto baada ya mimba ya kwanza kuharibika. Nilikuwa nampenda sana mke wangu kwa muda wote wa ndoa lakini kumbe ni mzinzi. Sipendi nimdhuru yeye, wala hawala yake wala maisha yake lakini siwezi kuishi na mke anayetoka nje ya ndoa, uchunguzi wa awali umenihakikishia unyama anaonifanyia lakini nahitaji vithibitisho kwa kufikia uamuzi wa kuvunja ndoa.

Msaada: naomba watalaam wa ICT wanisaidie haya
1.Wanifundishe kuhackle akaunti ya facebook ya mke.wangu.
2. Kutrack sms, simu na location ya simu ya mke wangu.

Najua ni makosa kisheria lakini nahitaji kupata hizi data ili zinisaidie kumdaka na kupata ushahidi wa wazi. Mpaka siku nilipojua siwezi tena kuishi na mwanamke huyu zaidi ya hapo nitakuja kumchinja usiku bure.

Naomba niwasilishe hoja, lakini kabla hujacomment fikiria nimeteseka sana na maumivu usiku kucha, sina mtu wa karibu wa kumpa suala langu zaidi nikaona nitupie hapa JF, hebu sasa heshimu mawazo yangu ukoment kitu cha maana na nisingependa ushauri wa ndoa zaidi naomba ujuzi huo hapo juu.

Majaribu2013 hoi kitandani Dar salama.

Pole sana (Mr Majaribu) kwa mkasa uliokupata, ningependa kukushauri ijapokuwa sijajua kama nyote yaani wewe na mkeo kama mna hofu ya Mungu tangia uchumba hadi ndoa, anyway maadamu umehitaji ushauri nitakushauri yafuatayo. Ndoa sio mkataba wa kijamii bali agano la kiroho. Waefeso 5:31-33 Kwa sababu hiyo mtu atamwacha baba yake na mama yake, ataambatana na mkewe na hao wawili watakuwa mwili mmoja. Suala la kuanza kufikiria jinsi ya kumuacha mkeo litoe kabisa kwenye nafsi yako,
Unachotakiwa mlilie Mungu kwa jinsi isiyo ya kawaida(funga na kuomba) ili roho ya uzinzi imutoke mkeo , naamini atakuwa mke mwema tu kwa kuamini ya kwamba hakuna lisilowezekana kwa Mungu.Mkeo amejaribiwa na shetani hata akaingia kwenye uzinzi.
Ukumbuke ya kwamba tendo la uzinzi ni sawa na Kulamba Sukari iliyotiwa SUMU, na wengi hawajui hilo, hatimaye wanaishia kwenye maisha ya Majuto na Kukata tamaa kama sio kifo, na hatimaye Jehanamu ya Moto. Wengi wanadai huwezi kuishinda uzinzi, ni kweli, hata Yesu alisema “Mimi ni Mzabibu; ninyi ni matawi; akaaye ndani yangu nami ndani yake, huyo huzaa sana; MAANA PASIPO MIMI NINYI HAMWEZI KUFANYA NENO LO LOTE” Yohana 15:5. Ushindi wa dhambi hii ya uzinzi, ni kwa, kuruhusu Roho Mtakatifu akaye ndani yetu, ambaye anaua chembechembe za Virusi vya Dhambi (Tamaa ya mwili) na Kutupatia tabia ya Mungu ndani ya MIOYO YETU, na huku ndiko kuzaliwa UPYA.
Mkeo ameshindwa kutawala tama zake mwenyewe kinachofuata ni kushawishiwa na shetani kisha kuanguka kabisa.Na mtu aliyeanguka aweza kudumu katika anguko hili mpaka pale neema ya Yesu imuongozayo katika Toba imshukie na afanye Toba kweli. Nyakati awapo katika anguko hili mtu huyu hukosa kibali mbele za Mungu, maana Mungu hachangamani na uovu, ni Yesu tu ndiye awezaye kuendelea kumtafuta huyu mtu mpaka arejee tena (luka 13:6-9).
Wanaokushauri Uache na kuoa mke mwingine hawakutakii mema Tambua kwamba kuoa si sawa na kununua shati. Ukilichoka na shati unaweza kununua nyingine lakini, huwezi kumwacha mke wako hata kama ukimchoka,jaribu kufunga na kuomba ili vifungo alivyonavyo mkeo vipate kufunguliwa. kitabu cha 1Yohana 5:14-15 Biblia inasema “Na huu ndio ujasiri tulionao kwake, ya kuwa, tukiomba kitu sawasawa na mapenzi yake, atusikia. 15 Na tukijua kwamba atusikia, tuombacho chote, twajua kwamba tunazo zile haja tulizomwomba.Amina .
 
Ngojea ninyooshee ukweli naojua mimi..
Sisi wanaume tuna tatizo sana nadhani Mie nilikuwa Kiongozi. Hakuna kitu inayomuuma mbaba kama kusikia mwanamke anayemwita mkewe kuna watu wanampandia huwa inauma zaidi ya uchungu Wa pakanga- frankly it pains a lot.

Mie nilipatwa Na maumivu hadi yakanipa wakati mgumu, ukichukulia mywife anafanya Kazi Za night shift Basi balaa, ukichukua cm yake utachoka, ukiendesha Na Kufanya Suprise visit ofcn kwake mid-night sometimes unakuta hayupo cm off. Nikapiga mkwara aache job naye akachimba bit Kama vipi nitoe talaka.

Sometime niliwaza kufanya vinasaba (DNA) Kwa Watoto to identify whether I am the real fadher. Nikachukua doc Kwa mwanasheria msobe Msobe hadi Ocean-Road hsp Kwenye dpt yake but on the way nikawaza how if I found SIO itakuwavipi Na jinsi navyowapenda wanangu can I handle?. Nakaachilia mawazo ile.

Nilishaorganize ndugu zake Na wazazi wanisaidie waowenyewe walichemsha. Imagine unafanya Suprise visit mid-night, kisha wanakwambia mkeo Leo yuko off au shift yake ni mchana Na SIO Mara moja Wala mbili , ukimuuliza simple anakujibu usimfuatilie Na Kazi . Ukiwaza kumpiga chini unawazia pia mstakabali wa Watoto Na heshima yako Mbele ya jamii.

Sina nia ya kukwambia my things Bali tu elewa unaposikitikia jambo wengine walishalia machozi ya Damu. Then lastly I got an idea, Kwamba Kama wanaume wenzangu wanachonga penseli zao humo kwani kichongeo wanakivunja? Waache wachonge wapendavyo maadam kichongeo Kina nguvu ok. Hapo nikawa flexible, nakumbuka was 2008. Then from that time nikapush Kwenye maendeleo sikuwa Na stress tena
Mmmh! , Hongera sana.... we ni miongoni mwa wanaume wachache sana wenye moyo wa uvumilivu wenye tija kwa wengine. 🙂
 
Mh! Hata kama ukiweza kuvumilia ivo bado watoto watakuwa ktk mazingira mengine tena magum zaidi kwani hujui huko nje anakocheza kama kuko salama kwani kwa hali ya magonjwa ya sasa imagen yakawapata na mwisho wa siku mkaaga dunia hao watoto mtawaacha ktk mazingira gani? Je yatakuwa bora kuliko yale ya mzazi mmoja ama ya kutokuwa na mzazi hata mmoja? Iloko mkuu fikiria mara 2 huo uamuzi wako!

Maneno yako yameakisi mawazo yangu, kama mtu akikosa uaminifu katika hizi zama na VVU/UKIMWI ni hatari kuliko fedheha ya taraka na kuwa na watoto wanaokosa malezi ya pande mbili. Tafakari nyendo za mkeo na uangalie uamuzi wako, hasa kama na wewe unaendelea kukomelea kwa bidii!
 
Back
Top Bottom