Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,235
Nina masters yangu ya Logistics,nimeifanyia Canada,na First degree yangu ni ya Accounts nimeifanyia Australia,working Experience 3 Yrs now,nafikilia kurudi nyumbani nimechoka kukaa ukimbizini kwa mda mrefu na nimemiss jamaa zangu kwa mda mrefu.
Kabla sijarudi naomba mnipe hali ya upepo huko kunalipa au hakuna kitu nitulie zangu huku,na kama ni ajira niombe wapi ambapo wanalipa fresh zaidi.
Kwani upo nchi gani kwa sasa?Kama ni Canada ni nchi nzuri..ka huko huko upige mzigo,njoo usalimie na utimke zako kufanya kazi mpka hapo badae labda ndo ufikirie kuja lakn sio sahizi...