Nataka kuoa mwanamke wa kiarabu

Nataka kuoa mwanamke wa kiarabu

Wengi humu waliinishwa kuwa Uarabu ni rangi.

Kama ni rangi tu, mbona wapo wengi wanakuwa "Waarabu", wake kwa waume!, jionee:

c43f4__Pela-Tonye_before_and_after2B(1).jpg

1230361090_mkorogo.jpg

View attachment 471295
79f0bleaching2Bmadness.jpg

RAY-221.jpg

Forgot-To-Bleach-Her-Feet.jpg

Picha zote kwa hisani ya google "mkorogo".

Hongera kwa kuleta ufahamu huu.
Waarabu "Asil" sio weupe kama wengi wanavyofikiria. Asili ya Waarabu wametokea Afrika. Baba wa Waarabu katokea Babiloni (leo Iraq), na Mama wa Waarabu ni Mwafrika halisi kutoka Afrika. Waarabu ni wajomba zetu. Waarabu ni kizazi kilichochanganya mataifa, wapo Waarabu weusi kama Jaluo, na wako wengine ni maji ya kunde na wengine ni weupe haswa wale waliochanganya wakati walopowateka Waroma, kuna mchanganyiko pale Tatar alipotawala Uarabuni nk.

Tabia ya "Mkorogo" inahusiana na ugonjwa wa akili unaojulikana kama "Borderline Personality Disorder au BPD".
Pia katika project Waamerika Weusi walioandaliwa ilikuwa ni kubadilisha fikra zao na wajione kuwa wao ni watu duni, na kuonyeshwa kuwa mtu mweupe ndio aliyebarikiwa. Project hiyo imefanikiwa sana. Wengi wamechoma nywele zao, kujichubua na kuvaa nywele za bandia za kihindi na kizungu zilizotengenezwa na plastic.
Ndio maana leo tuko pia Waafrika wenye fikra duni wanavaa suti na tai na kupandisha bendera ya Kizayuni ya Ubaguzi wa Israel hapa Tanzania. Utumwa wa kisasa. Tumepoteza maadili. Kwa ajili ya ubishi, matamanio binafsi, ujinga tunakuta tunasaliti na tunarudi kwenye utumwa bila ya kulazimishwa.
 
Hongera kwa kuleta ufahamu huu.
Waarabu "Asil" sio weupe kama wengi wanavyofikiria. Asili ya Waarabu wametokea Afrika. Baba wa Waarabu katokea Babiloni (leo Iraq), na Mama wa Waarabu ni Mwafrika halisi kutoka Afrika. Waarabu ni wajomba zetu. Waarabu ni kizazi kilichochanganya mataifa, wapo Waarabu weusi kama Jaluo, na wako wengine ni maji ya kunde na wengine ni weupe haswa wale waliochanganya na mateka ya Waroma, mchanganyiko pale Tatar alipotawala nk.

Tabia ya "Mkorogo" inahusiana na ugonjwa wa akili unaojulikana kama "Borderline Personality Disorder au BPD". Katika project Waamerika Weusi walioandaliwa ilikuwa ni kubadilisha fikra zao na wajione kuwa wao ni watu duni, na kuonyeshwa kuwa mtu mweupe ndio aliyebarikiwa. Project hiyo imefanikiwa sana. Wengi wamechoma nywele zao, kujichubua na kuvaa nywele za bandia za kihindi na kizungu zilizotengenezwa na plastic.
Ndio maana leo tuna Waafrika wanavaa suti na tai na kupandisha bendera ya Kizayuni ya Ubaguzi wa Israel hapa Tanzania. Utumwa wa kisasa. Tumepoteza maadili. Tunarudi kwenye utumwa bila ya kulazimishwa.

Ukisoma post zangu, miaka yote nimejaribu kutowa elimu hiyo humu, wapo walionielewa na wapo wasionielewa.

Tena huyo Baba wa Babilon asili yake alitokea ambako sasa panaitwa Tanzania, huko kwa wa Iraqw.

Sayansi ya "DNA" imevumbuwa kuwa hawa wa Iraqw wa kwetu ni watu wa awali duniani na walienda mbali sana, si hasha walifika Iraq na ndiyo asili ya nchi ya Iraq.
 
Very Interesting topic. Hongera kwa kupanua mada na kupanua mawazo yetu. Likija suala la DNA hatupingi maana DNA haidanganyi. Ndio maana DNA imegundua kuwa wale wanaojiita ni Waisrael leo, hawana uhusiano wowote na kizazi kitakatifu cha Jakobu (Wana wa Israeli). Waisraeli wa leo ni feki, sio Wasemeti bhana.

Tukirudi kwa Wairaki kutoka Tanzania, inawezekana maana hata pale Olduvai Gorge waligundua fufu la watu wa kale wakioshi miaka milioni kadhaa.

Sema kuna ushahidi Tanzania hii yetu pia tabaka la Kibantu linaonyesha kuwa limetokea Zimbabwe, na neno "Tanganyika" ni neno la lugha ya Kishona. Hata Kiswahili hiki chetu maneno yake yote haya ya Kibantu ni maneno ya Kishona, lugha mama ya Wazimbabwe.
Elimu ya Historia yetu imehujumiwa sana na Wakoloni na wengine tunaifuata kama ng'ombe tuu.

Wajerumani ni Taifa pekee walioweka historia halisi, wakati Waingereza ndio wamejaza uongo baada ya uongo baada ya uongo.
 
Hakika leo nimefurahi sana kupata mtu JF hii ambae anaeielewa historia ya kale kama ninavyoielewa, ingawa tutakuwa na tofauti za hapa na pale lakini tutaelekea huko huko.

Hilo la Wajerumani kidogo nnashaka nalo kwani nijuavyo hata majina halisi ya waliopigana vita ya maji maji waliyabadilisha> Mohamed Said

Endelea kutuelimisha ndugu yangu.

Nimefurahi sana tena sana.
 
Tuliokuwa na nia nzuri kwenye JF ya kuelimishana tutakutana tuu. Pia tunashukuru sana kwa kutuelimisha haswa suala la Wairaki kutoka Tanzania. Tutalipeleka rasmi kwenye mitandao ya Wanahistoria wa Afrika.

Kwanini tumewapa Wajerumani "credit"? Yaani sifa hizo?, tumewaweka katika fungu la Wana historia wa Kizungu. Ni katika Wazungu wanaosema ukweli. Kama tumepata nafasi ya kwenda Ujerumani, wengi tutaona jinsi walivyohifadhi historia ya kuwa kwao Afrika. Hawajabadilisha kujipendelea kuwa wao walikuwa ni watu wazuri. Mazuri yao wameyazungumzia, na mabaya yao wamezungumzia. Hata historia ya Zanzibar, wameielezea jinsi ilivyo. Wakati hata sisi wenyewe tumeibadilisha kwa upendeleo fulani au kwa nia ya propaganda fulani ya kisiasa.

Wazungu wengi hawakujua kuyatamka majina ya Waislam au ya Kiafrika. Mfano Musa Bin Biq na Mozambique, na kuna sehemu nyingi sana duniani zina ushahidi huu.

Wajerumani wanasema "Tulikuta Mlima Kilimanjaro au Maporomoko ya maji ya Mosi O Tunya".
Waingereza wanasema "Tuligundua Mlima Kilimanjaro au tuligundua maporomoko ya maji tukayaita "Victoria Falls".
 
Funguka ndugu yangu, nnachota hapa.
 
Hehe!, mpaka nimecheka.
Mmenikumbusha kisa kimoja kama cha espy. Haikuwa Kariakoo lakini, ilikuwa Posta nilienda kuzurura na cousin yangu, halafu yeye ni wale waliokolea rangi nyeupe akipigwa na jua mpaka anakuwa mwekundu.
Basi wakati tunakatiza mtaani, mara tukasikia mhuni mmoja eti akasema, "cheusi dawa na cheupe dawa njooni basi mnisalimu"
Tukaangaliana na cousin yangu ikabidi tucheke.
Basi ngoja nami nijitahidi hadi nikolee rangi kama cousin wako.
 
  • Thanks
Reactions: kui
mkuu naona kama una chuki nao any way niko teyari kumhudumia,
moja katika sifa nnaemtaka awe mke wangu ni asiwe mfanya kazi yaani nikimuoa atakua anakaa home tu.

sina chuki nao ila nawajua kwa undani zaidi maana ni dada zangu ,inachoonesha hutaki kuambiwa maneno tofauti na uliyoyaumba kichwani mwako ...

kila la heri mkuu
 
hata waswahili weupe wa baridi au mkuu hujawapata waswahili weupe tena wanapata kijoto kidogo tu wanapokuwa wajawazito upo mkuu jaribu uone
 
mtu unamfanyia kila kitu,unampenda,unamjali,unampa matunzo,lakini sababu anaona uko busy na kazi basi anaona bora akusaliti akiona na mtoto wa kiarabu lazima ajitundike....salam zimfikie....
unamaanisha kuna mtu alikusaliti na ndio unataka umkomoe kwa kuchukua mtoto mkali zaidi yake?
 
Katimize ndoto bro me pia hyo ndoto yangu nasubiri wakati tu ufike vile viumbe ni zaidi ya wake mapambo na urembo tosha ndani
 
Ukirudi baada ya ndoa uje apa na mrejesho baada ya miezi 3 maana znz sijui kama utawaweza
 
Back
Top Bottom