nashkuru kwa ushauri,ila wadada wa kiarabu wazuri sana hata kwa kuwaangalia..hata kama nikikaa nae wiki nzima bila kumgusa moyo wangu utaridhika.Hakuna binadamu asiye na kasoro unaweza ukatafuta ao unaowaita waarabu ndio ukajuta, ukakuta kheri ya sisi wa ngozi nyeusi.
Chunguza kwanza na sio upande wa kucheat pekee na mengine pia angalia.
Tabia za uswazi zipo dunia nzima. Angalia tamthilia za kifilipino na zingine za kilatini uone maisha yalivyo. Waarabu, waswahili, wazungu na wahindi au yeyote yule wana tabia sawa.Wakuu nimeamua kuchukua uamuzi huu kutokana kuona ndoa zao zinadumu kwa kiwango kikubwa kuliko kuachana.
pia madada wa kiarabu sio rahisi kucheat kuliko wa kiswahili.
naenda kuoa Zanzibar niko katika maandalizi ya kutafuta.
naombeni baraka na kheri zenu wakuu.
😀😀😀😀😀😀 ebana wewe ni nomanashkuru kwa ushauri,ila wadada wa kiarabu wazuri sana hata kwa kuwaangalia..hata kama nikikaa nae wiki nzima bila kumgusa moyo wangu utaridhika.
Sijawahi
Huna nia tu kwani hata weusi wapo wazuri haswa na wenye tabia kushinda hizo za hao waarabu.nashkuru kwa ushauri,ila wadada wa kiarabu wazuri sana hata kwa kuwaangalia..hata kama nikikaa nae wiki nzima bila kumgusa moyo wangu utaridhika.
Wewe ni wa dini ipi?Wakuu nimeamua kuchukua uamuzi huu kutokana kuona ndoa zao zinadumu kwa kiwango kikubwa kuliko kuachana.
pia madada wa kiarabu sio rahisi kucheat kuliko wa kiswahili.
naenda kuoa Zanzibar niko katika maandalizi ya kutafuta.
naombeni baraka na kheri zenu wakuu.
dada angu nakwambia hivyo sio kwamba sijawahi kuwa na mwanamke mweusi...Hapana!!! ila alochonifanyia nmeona bora kuchukua wanawake wa kiaraba maana cheat kwao ni % ndogo sana.Huna nia tu kwani hata weusi wapo wazuri haswa na wenye tabia kushinda hizo za hao waarabu.
Ila ndio hivyo moyo wako umechagua na sio kazi rahisi kuubadilisha.
Kajaribu mdogo wangu ila usiache kutuletea mrejeshodada angu nakwambia hivyo sio kwamba sijawahi kuwa na mwanamke mweusi...Hapana!!! ila alochonifanyia nmeona bora kuchukua wanawake wa kiaraba maana cheat kwao ni % ndogo sana.
Na vipi mkuu yale wasemayo watu kuwa hao waarabu wanapenda sana tigo na ni bora mwanamke wao atoe uani kwa mwanaume kuliko atoe bikira yake ya uke.Mmh kaka , si vibaya kua na wazo hilo ila kama kijana mzanzibar ambae najua hulka za watu ambao wana asil ya uarabu nikiwa ni miongon mwao nataka nikupe sifa mbil tatu walizonazo hao watu , kiukwel kama maisha yako ni yakujiweza vzur had unamilik kiusafir japo ki vitz go ahead na km unaweza ku mudu pressure za familia yke pindi utapomuowa kwan familia za kiarab zna dharau sana sio zote ila nazungumzia majority ukiwa huna kitu manno mann hayatoisha had mwanamke hata kam anakupenda kwel bas anajikuta anashindwa kuendelea na ww , kwan wao wanapenda luxuries yaan hawatoridhika na ww moyon km mtoto wao atakusa luxuries na jitayarishe na ugeni wa mara kwa mara wa ndugu tena wanapokuja sio mmja watakuja weng na kipind icho wataangalia mapunguf ya nyumba na kuenda kuyajadl , la mwisho km huna nyumba yakwako mwenyew forget about it au lazima na ww mwenyew uwe asili yao ....
hapana hayana ukweli wowote,nimefuatilia sana.Na vipi mkuu yale wasemayo watu kuwa hao waarabu wanapenda sana tigo na ni bora mwanamke wao atoe uani kwa mwanaume kuliko atoe bikira yake ya uke.
Yana ukweli hayo chief?
Una umri gani mzee?Wakuu nimeamua kuchukua uamuzi huu kutokana kuona ndoa zao zinadumu kwa kiwango kikubwa kuliko kuachana.
pia madada wa kiarabu sio rahisi kucheat kuliko wa kiswahili.
naenda kuoa Zanzibar niko katika maandalizi ya kutafuta.
naombeni baraka na kheri zenu wakuu.
Sijafanya utafiti mkuu kwa hayo ila mm niliwah kua na girl wa asil hio kwa kwel ni wagumu walikua enz hizo kutoa bikra zao yaani atakupa kila sehem atakupig koni utakavy ila kuikata ni mbinde ila hajawai ata sku moja ku nipa opinion ya tg kiukwel hio tabia ni mawazo tu ya watu hata huku main land mbona waschana kibao wanaliwa tg n sio waarab kiufup ni kuiga na tamaa tu za kimwilNa vipi mkuu yale wasemayo watu kuwa hao waarabu wanapenda sana tigo na ni bora mwanamke wao atoe uani kwa mwanaume kuliko atoe bikira yake ya uke.
Yana ukweli hayo chief?
Hahaha mkuu umedhamiria duuh mbona wapo weng tu nakuhakikishia unapata we nenda tumtu unamfanyia kila kitu,unampenda,unamjali,unampa matunzo,lakini sababu anaona uko busy na kazi basi anaona bora akusaliti mamammaeee akiona na mtoto wa kiarabu lazima ajitundike....salam zimfikie....
tena tabora wapo wengi tunawapita tu.......................kuwait???ahaaa
Hawa viumbe huwa hawaridhiki mkuu. Na inavyoonekana mgegedo ulikuwa huutoi vizuri sababu ya ubusy. Jaribu kutulia kwanza kabla ya kuamua huenda umefocus kwenye kumkomoa mwenzako kumbe sababu ulikuwa ni wewe!!mtu unamfanyia kila kitu,unampenda,unamjali,unampa matunzo,lakini sababu anaona uko busy na kazi basi anaona bora akusaliti mamammaeee akiona na mtoto wa kiarabu lazima ajitundike....salam zimfikie....