Nataka kuoa mwanamke wa kiarabu

Nataka kuoa mwanamke wa kiarabu

Basi mimi nitakuwa mwafrika koko.
Soon nacheza karibu na mkorogo maana ushakuwa dili, niliumia siku moja kariakoo waliniita "cheusii naona siku hizi mmebaki wa sample tu". Hebu niulizie kwa kui nitapata wapi mkorogo usiosaliti.
Cheusi mangala mali weye! Asikuchuuze mtu. kui hana ujirani na mkorogo.


Hehe!, mpaka nimecheka.
Mmenikumbusha kisa kimoja kama cha espy. Haikuwa Kariakoo lakini, ilikuwa Posta nilienda kuzurura na cousin yangu, halafu yeye ni wale waliokolea rangi nyeupe akipigwa na jua mpaka anakuwa mwekundu.
Basi wakati tunakatiza mtaani, mara tukasikia mhuni mmoja eti akasema, "cheusi dawa na cheupe dawa njooni basi mnisalimu"
Tukaangaliana na cousin yangu ikabidi tucheke.
 
Bora umwambie huyu asije akajibabua uso bure na mkorogo kisha akabaki na majuto mjukuu. Mkorogo noma sana ni wa kucheza nao mbali kabisa.

Hehe!, mpaka nimecheka.
Mmenikumbusha kisa kimoja kama cha espy. Haikuwa Kariakoo lakini, ilikuwa Posta nilienda kuzurura na cousin yangu, halafu yeye ni wale waliokolea rangi nyeupe akipigwa na jua mpaka anakuwa mwekundu.
Basi wakati tunakatiza mtaani, mara tukasikia mhuni mmoja eti akasema, "cheusi dawa na cheupe dawa njooni basi mnisalimu"
Tukaangaliana na cousin yangu ikabidi tucheke.
 
Dah... Na ukibahatisha unaweza kupata mwenye bikra ya mbele[emoji12] [emoji12]
 
Nilichogundua wengi wa watanzania hatujui kutofautisha baina ya waarabu, wamanga, mabohora, wahabeshi, wote tunawaita waarabu
 
Maamuzi mazuri. Usitishike na maelezo ya baadhi ya watu. Ubaguzi upo kila mahali hata wasio waarabu wako wengi ambao hawataki familia zao kuoa wanawake wenye asili za kiarabu. Huko ukiwa muislamu na njia halali ya kujipatia kipato na sehemu ya kumueka mtoto wao bila kusahau uwe na tabia njema basi unayo nafasi ya kupewa mke.
 
Bora umwambie huyu asije akajibabua uso bure na mkorogo kisha akabaki na majuto mjukuu. Mkorogo noma sana ni wa kucheza nao mbali kabisa.


Kwa kweli.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Huna nia tu kwani hata weusi wapo wazuri haswa na wenye tabia kushinda hizo za hao waarabu.

Ila ndio hivyo moyo wako umechagua na sio kazi rahisi kuubadilisha.
Nahisi ww utanifaa! Napenda mweuzi tiii bila mkorogo
 
Kwanza tunakupongeza sana na tunakutakia kila la kheri katika safari yako.
Ndoa yako ibarikiwe. Familia yako Ibarikiwe. Mungu akujalie watoto wema.

Katika hii dunia, wengine tumajaaliwa kufika sehemu nyingi duniani na kuishi na kila aina ya watu, makabila, matabaka na mataifa mbalimbali.
Suala kubwa ni maadili ya mtu, tabia ya mtu sio rangi ya mwili.
Tunaweza kwenda Sudan ya Kusini na tukapata msichana wenye maadili mazuri sana, na tunaweza kwenda Yemen au Lebanon tukapata mwanamke wenye maadili mabovu.
Zanzibar au pwani yote wamebobea kwenye maswala ya maadili mazuri baina ya uhusiano mzuri wa mume na mke, ni utamaduni wao na wala sio kwa ajili rangi ya ngozi ya mtu.
Ni bahati kubwa kupata mume au mke mtiifu, wako Wazungu pia ni watiifu sana. Bara Asia pia wamezingatia sana haya.

Hakina historia inatusuta na inatoa ushahidi kuwa katika historia ya mwanaadamu, watu waatifu na waliobarikiwa katika hii dunia walikuwa ni Waafrika mpaka pale tulipoacha mila na desturi zetu na kuiga mila zingine za kishenzi.

We traded our respect, our dignity and our identity to the Colonialist.
 
Wengi humu waliinishwa kuwa Uarabu ni rangi.

Kama ni rangi tu, mbona wapo wengi wanakuwa "Waarabu", wake kwa waume!, jionee:

c43f4__Pela-Tonye_before_and_after2B(1).jpg

1230361090_mkorogo.jpg

upload_2017-2-17_8-56-41.jpeg

79f0bleaching2Bmadness.jpg

RAY-221.jpg

Forgot-To-Bleach-Her-Feet.jpg


Picha zote kwa hisani ya google "mkorogo".
 
Back
Top Bottom