Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,164
- 13,556
Ok,kwa hyo ww lengo lako ni kuoa muarabu ili umkomoe ex wako?mtu unamfanyia kila kitu,unampenda,unamjali,unampa matunzo,lakini sababu anaona uko busy na kazi basi anaona bora akusaliti mamammaeee akiona na mtoto wa kiarabu lazima ajitundike....salam zimfikie....