Nataka kuoa mwanamke wa kiarabu

Nataka kuoa mwanamke wa kiarabu

Hawa viumbe nawajua sana maana nishaishi nao

* Uwe nazo muda wote
* Kila ijumaa Birian au pilau
*Tegemea kupata mgeni muda wowote na usiulize ana muda gani
*Mama mkwe kuhamia kwako (Kama unazo) hahitaji taarifa
*Ukitokea msiba au harusi au kisomo hakuna kusema nakutafutia nauli, ukisuasua kwao wanatuma ndiyo heshima imeshuka hivyo
* Sex ni muda wowote hata kama umesahau daily nyumbani ukarudi saa nne lazima umpe.
Ni mengi tu ila jipange na kuachana ni kawaida sana kwao
 
Wakuu nimeamua kuchukua uamuzi huu kutokana kuona ndoa zao zinadumu kwa kiwango kikubwa kuliko kuachana.

pia madada wa kiarabu sio rahisi kucheat kuliko wa kiswahili.

naenda kuoa Zanzibar niko katika maandalizi ya kutafuta.

naombeni baraka na kheri zenu wakuu.
Nimechekaaje kaka!! Zanzibar kuna vumbi la warabu lakini warabu hakuna,Nenda Bahrain,Kuwait,Saudia Arabia,U.A.E,Qatar
Kama ZNZ warabu na sie Tanga pia warabu lol..........
 
Sina uwezo wa kwenda kuoa huko,uwezo wangu uko hapa hapa Tanzania.
hao hao unaowaita vumbi pia waarabu
 
Hawa viumbe nawajua sana maana nishaishi nao

* Uwe nazo muda wote
* Kila ijumaa Birian au pilau
*Tegemea kupata mgeni muda wowote na usiulize ana muda gani
*Mama mkwe kuhamia kwako (Kama unazo) hahitaji taarifa
*Ukitokea msiba au harusi au kisomo hakuna kusema nakutafutia nauli, ukisuasua kwao wanatuma ndiyo heshima imeshuka hivyo
* Sex ni muda wowote hata kama umesahau daily nyumbani ukarudi saa nne lazima umpe.
Ni mengi tu ila jipange na kuachana ni kawaida sana kwao
nashkuru kwa ushauri wako,
mgeni na biriani ijumaa kwangu sio ishu,hata akitaka kila siku pia sio ishu.
mengine tutavumiliana na kurekebishana.
 
Wakuu nimeamua kuchukua uamuzi huu kutokana kuona ndoa zao zinadumu kwa kiwango kikubwa kuliko kuachana.

pia madada wa kiarabu sio rahisi kucheat kuliko wa kiswahili.

naenda kuoa Zanzibar niko katika maandalizi ya kutafuta.

naombeni baraka na kheri zenu wakuu.
Waarabu wanadumu sababu wanaoana watoto wa mjomba na shangazi au watoto wa baba mkubwa na mdogo "binamuzzzz"

Hiyo ndio siri yao... aibu za kuachana hamna kwenye family they know their weaknesses, wanajua jinsi ya kuvumiliana, wanajuana as they grow up together, they know who to talk to when have issues and they know what it takes relationship zao zikiharibika.

Lakini wewe ukioa waarabu wa zanzibar garantee ya kudumu anajua Allah!

Kaoe binamu kama kwenu inaswihi..
 
nimekuelewe sana,
nitajitahidi kuishi kama wao ili niweze kudumisha mapenzi na ndoa yangu.
 
Ila masharti ya Zanzibar na Pemba hawakupi mke mpaka wakujue na ukoo wako, sijui kama una jamaa huko, ila Tinde, Luhumbo huko Shinyanga kuna waarabu kabisa japo wanaishi vijijin unaweza kwenda kuangalia
 
Wakuu nimeamua kuchukua uamuzi huu kutokana kuona ndoa zao zinadumu kwa kiwango kikubwa kuliko kuachana.

pia madada wa kiarabu sio rahisi kucheat kuliko wa kiswahili.

naenda kuoa Zanzibar niko katika maandalizi ya kutafuta.

naombeni baraka na kheri zenu wakuu.
Ukimpata nifanyie mpango nimuoe dada yake..hata mimi nakaugonjwa hako ulichonacho
 
Mmh kaka , si vibaya kua na wazo hilo ila kama kijana mzanzibar ambae najua hulka za watu ambao wana asil ya uarabu nikiwa ni miongon mwao nataka nikupe sifa mbil tatu walizonazo hao watu , kiukwel kama maisha yako ni yakujiweza vzur had unamilik kiusafir japo ki vitz go ahead na km unaweza ku mudu pressure za familia yke pindi utapomuowa kwan familia za kiarab zna dharau sana sio zote ila nazungumzia majority ukiwa huna kitu manno mann hayatoisha had mwanamke hata kam anakupenda kwel bas anajikuta anashindwa kuendelea na ww , kwan wao wanapenda luxuries yaan hawatoridhika na ww moyon km mtoto wao atakusa luxuries na jitayarishe na ugeni wa mara kwa mara wa ndugu tena wanapokuja sio mmja watakuja weng na kipind icho wataangalia mapunguf ya nyumba na kuenda kuyajadl , la mwisho km huna nyumba yakwako mwenyew forget about it au lazima na ww mwenyew uwe asili yao ....
hii inanikumbsha mwanangu mmoja kadili dini baada ya kupatan mwarabu.. mapenzi yanaongoza dunia
 
Wakuu nimeamua kuchukua uamuzi huu kutokana kuona ndoa zao zinadumu kwa kiwango kikubwa kuliko kuachana.

pia madada wa kiarabu sio rahisi kucheat kuliko wa kiswahili.

naenda kuoa Zanzibar niko katika maandalizi ya kutafuta.

naombeni baraka na kheri zenu wakuu.
waarabu hawana chura,, acha ujinga chukua wabongo tu
 
Back
Top Bottom