Nataka kuoa mwanamke wa kiarabu

Nataka kuoa mwanamke wa kiarabu

waarabu watamu kama unapenda wembamba na weupe basi peleka furaha yako huko mkuu
 
Wakuu nimeamua kuchukua uamuzi huu kutokana kuona ndoa zao zinadumu kwa kiwango kikubwa kuliko kuachana.

pia madada wa kiarabu sio rahisi kucheat kuliko wa kiswahili.

naenda kuoa Zanzibar niko katika maandalizi ya kutafuta.

naombeni baraka na kheri zenu wakuu.
Vipi ulifanikiwa ?
 
Hakuna binadamu asiye na kasoro unaweza ukatafuta ao unaowaita waarabu ndio ukajuta, ukakuta kheri ya sisi wa ngozi nyeusi.

Chunguza kwanza na sio upande wa kucheat pekee na mengine pia angalia.
ngozi nyeusi ni ngozi ya mkunduni hausafishiki hata kwa maji
 
Back
Top Bottom