Nataka kuoa aliyekuwa demu wa mshikaji wangu!

Hi wana JF!

Nimetokea kupendwa kupita kiasi na demu wa zaman wa mshikaji wangu wa karibu sana. Huyu demu ananiambia toka siku aliponiona (yeye akiwa na mshikaji wangu) alitokea kunipenda sana na kwa sasa wameachana na demu kaja kwangu completly na hv tayari nime mu engage! Je nimuoe? Mshikaji atajisikiaje?? Msaada tutani.
Umejaribu imekataa KUPITA?? isijekuwa mlianza zamani ndio unataka tukuhalalishie??? mahusiano yoyote hayatokani na ushauri wa watu ni maamuzi yenu wenyewe:smile-big:
 
Mpwa, mpwa una hatari wewe, haya siku umemuoa akirudi kwa original wake!!!
 
Je nimuoe?
***Jibu mbona unalo mwenyewe?

Mshikaji atajisikiaje?
***Hivi rafiki yako wa karibu akikuchapia demu wako utajisikiaje? Sembuse kuoa? Unaweza kumuuliza mwenyewe!:nono:
 
:playball::playball::playball::playball:hata wakiushauri hapa usioe na wewe ushamuingage itakuwaje!!????
 
sasa tatizo ni nini hapo? kama mshkaji hamaind we oa tu kaka, mwisho wa siku cha muhimu ni furaha yenu
hayo mambo ya kiporo sio ishu kwani hamna ambaye anauhakika kaoa/olewa mwanamke/mwanaume ambaye hajachakachuliwa

kila mtu ni kiporo kwa mwingine we kamata kifaa hicho mjenge familia

Siyo kila mtu ni Kiporo kaka wengine tulitoka Ubikra mpaka kwenye Ndoa
 
Demu ni kiporo cha mshkaji wako na kumbuka kiporo huwa kinahitaji kupashwa moto kidogo tu kabla ya kuliwa. Ningekuwa mimi ndiye umechukua demu wangu kwa mtindo huo ningekupa baraka zangu zote uendelee na mipango ya ndoa. Tena ningejitolea kuwalipia hoteli nzuri kwa ajili ya honeymoon! Ila ningehakikisha nammega huyo mkeo (demu wangu wa zamani) mkiwa kwenye honeymoon!
 
umeshamuengage, ushauri gani wataka? malizia tu mengine utayajua baada ya harusi uje uombe ushauri jinsi ya kuishi na aliekuwa demu wa rafiki yako
 
presha zingine mnazitafuta wenyewe...!!!kwa hatua ulofikia sidhani hata ulikuwa una haja ya kuomba watu ushairi...acha tabia za kuchukulia wanafalia wa humu kama kalkuleta...:A S angry:
 
Hi wana JF!

Nimetokea kupendwa kupita kiasi na demu wa zaman wa mshikaji wangu wa karibu sana. Huyu demu ananiambia toka siku aliponiona (yeye akiwa na mshikaji wangu) alitokea kunipenda sana na kwa sasa wameachana na demu kaja kwangu completly na hv tayari nime mu engage! Je nimuoe? Mshikaji atajisikiaje?? Msaada tutani.

Umemuengage halafu unaomba ushauri wa kuoa au kutooa! Hii hatari!!! we umeingia na miguu yote bila kuomba ushauri kabla ya engagement tayari hiyo ni ndoa bado vyeti tu. Songa mbele na safari uliyoianzisha!

Ila tambua kuanzia sasa imani na rafiki yako inatakiwa ife na mnakoelekea urafiki wenu unakufa hivi karibuni . Najua hutavumilia rafikiyo kukutembelea eneo mnaloishi na mkeo ambaye anamfahamu kila kiungo cha mwili wake. labda kama kuna vingine vitaota baada ya ninyi kufunga ndoa ndo utakuwa utofauti.
 
Ukubali pia mchiz wako akiwa anakipasha kiporo icho......
Mtalaka hatongozwi!!!
.. apo utakua umemsaidia na mchiz
 
Hi wana JF!

Nimetokea kupendwa kupita kiasi na demu wa zaman wa mshikaji wangu wa karibu sana. Huyu demu ananiambia toka siku aliponiona (yeye akiwa na mshikaji wangu) alitokea kunipenda sana na kwa sasa wameachana na demu kaja kwangu completly na hv tayari nime mu engage! Je nimuoe? Mshikaji atajisikiaje?? Msaada tutani.

kama huwezi kuoa sema si 2gegede
 
Umeonesha dharau kubwa kwa rafiki yako. Badala ya kumuuguza, umemuunguza zaidi. Malipo yako yapo.
 
Aaaargh...hata hili wataka kushauriwa???? Wewe kama mwanaume huwezi kuamua????
 
Back
Top Bottom