Demu nimetongoza mwaka mzima kanikataa ila kaja mgeni wangu kamtafuna

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,837
Wanawake ni watu wa ajabu saana, yani mimi tunaejuana tumezaliwa wote kijiji kimoja cha mpwayungu kila siku namhonga natongoza huu mwaka wa pili lakini hajanipa tunda ila ajabu Sasa ipo hv

Kuna mgeni wangu kaja Jana kutoka Songea Sasa huyu demu huwa anakuja kuchota kwetu Maji kwahiyo jamaa likamuona likasema linamtaka nikamwambia demu ana msimamo balaaa ila jamaa hakuelewa nikaona sio mbaya nikampa namba yake

Jamaa kapiga simu moja Kwa moja akajieleza demu akasema nilikuona ndio Kwa kinampwayungu nilipokuwa nachota Maji jamaa akasema ndio ndo mimi, sasa sijui baadae waliongea nini ila usiku nagonga mlango kwenye chumba cha mgeni jamaa akasema nipo na yule demu

Niliona uongo mpaka nilipomuona asubuhi demu niliyetongoza miaka miwili anatoka kwenye chumba cha mgeni wangu, kitanda changu, mashuka yangu, nyumba yangu halafu mbaya zaidi anatoka chumbani bila kunisalimia... Wanawake ni watu makatili saaana loooooh!!!!!!
 
Huo ndiyo ukarimu kwa wageni sasa.Na wewe unatakiwa umuandalie huyo mgeni kahawa na mishikaki apooze uchovu.No way!
 
Wanawake ni watu wa ajabu saana, yani mimi tunaejuana tumezaliwa wote kijiji kimoja cha mpwayungu kila siku namhonga natongoza huu mwaka wa pili lakini hajanipa tunda ila ajabu Sasa ipo hv

Kuna mgeni wangu kaja Jana kutoka Songea Sasa huyu demu huwa anakuja kuchota kwetu Maji kwahiyo jamaa likamuona likasema linamtaka nikamwambia demu ana msimamo balaaa ila jamaa hakuelewa nikaona sio mbaya nikampa namba yake

Jamaa kapiga simu moja Kwa moja akajieleza demu akasema nilikuona ndio Kwa kinampwayungu nilipokuwa nachota Maji jamaa akasema ndio ndo mimi, sasa sijui baadae waliongea nini ila usiku nagonga mlango kwenye chumba cha mgeni jamaa akasema nipo na yule demu

Niliona uongo mpaka nilipomuona asubuhi demu niliyetongoza miaka miwili anatoka kwenye chumba cha mgeni wangu, kitanda changu, mashuka yangu, nyumba yangu halafu mbaya zaidi anatoka chumbani bila kunisalimia... Wanawake ni watu makatili saaana loooooh!!!!!!
.. huwa anakuja kuchota maji kwetu.

Ondoka hapo kwenu haraka sana, demu hawezi kuwa na KJ (Kubwa Jinga)
 
Wanawake ni watu wa ajabu saana, yani mimi tunaejuana tumezaliwa wote kijiji kimoja cha mpwayungu kila siku namhonga natongoza huu mwaka wa pili lakini hajanipa tunda ila ajabu Sasa ipo hv

Kuna mgeni wangu kaja Jana kutoka Songea Sasa huyu demu huwa anakuja kuchota kwetu Maji kwahiyo jamaa likamuona likasema linamtaka nikamwambia demu ana msimamo balaaa ila jamaa hakuelewa nikaona sio mbaya nikampa namba yake

Jamaa kapiga simu moja Kwa moja akajieleza demu akasema nilikuona ndio Kwa kinampwayungu nilipokuwa nachota Maji jamaa akasema ndio ndo mimi, sasa sijui baadae waliongea nini ila usiku nagonga mlango kwenye chumba cha mgeni jamaa akasema nipo na yule demu

Niliona uongo mpaka nilipomuona asubuhi demu niliyetongoza miaka miwili anatoka kwenye chumba cha mgeni wangu, kitanda changu, mashuka yangu, nyumba yangu halafu mbaya zaidi anatoka chumbani bila kunisalimia... Wanawake ni watu makatili saaana loooooh!!!!!!
Fear women ohh
 
Mbwa mkali habwekei ndani... Lakini piah nabii hakubaliki kwao. Mara nyingi ni nadra sana mwanamke uliyekua nae kukukubali kimapenzi

Lakini piah inategemea na mbinu zako zautongozaji inawezekana umetumia mbinu zakizamani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom