Nataka kununua simu ya Milion Moja

kujenga nyumba ni kuwekeza.. huwezi kusema kununua simu ni kuwekeza.. hapo ni kufanya ufahari.. ila kwakuwa umesema mfuko wako unakuruhusu.. sawa we nunua

Hata kununua simu nzur had roho yako ikaridhika ni kuwekeza, sema unakuwa umewekeza kwenye kitu flan intangible kinaitwa "peace of mind" unapokuwa na peace of mind ya kutosha....bhasi na uwezo wako wa kutafuta hela unaongezeka na kufanikiwa zaidi...

Kibongobongo tumezoea kusema " mwenye nacho anaongezewa" na watu wote tunaamin kwenye mazingaombwe haya, pasipo kujua yanafanyaje kazi.
 
Hiyo simu iko vizuri kwa hizo specifications muundo mie ni kitu kidogo pia haijaundwa kwa Gorilla glass ila mie ndiyo natumia.
Lets say,mfano Ukitaka kumuuzia mtu utafanya bei gani?
 
Ni wapi amesema yeye hajafanya mambo yake ya msingi? njaa yako usiwahusishe na wengine.haya Maghorofa unayoyaona mjini humu yote ni ya watu na watu wenyewe ndio sisi au unataka tukaishi mars tuwaachie hii dunia yenu?
We jamaa weweee
 
Hata kununua simu nzur had roho yako ikaridhika ni kuwekeza, sema unakuwa umewekeza kwenye kitu flan intangible kinaitwa "peace of mind" unapokuwa na peace of mind ya kutosha....bhasi na uwezo wako wa kutafuta hela unaongezeka na kufanikiwa zaidi...

Kibongobongo tumezoea kusema " mwenye nacho anaongezewa" na watu wote tunaamin kwenye mazingaombwe haya, pasipo kujua yanafanyaje kazi.
Asante kwa maelezo yako
 
Umelogwa na nani? Buni mradi achana na hiyo makitu, Ikidondoka chini unahisi mkojo pmoja na malalamiko mengii..ooh nilichukua mkopo benk
Mawazo ya watu wenye njaa haya..
Mtu kakwambia mishe zake anazofanya zimempa faida kubwa hadi anataka kununua simu ya milioni 1 sasa wewe na njaa zako umekazana wekeza wekeza..

Na wewe si utafute hela zako uwekeze
 
Chukua Asus zenfon 5...
Hii ngoma ni hatari na nusu
Kwanza ukiachana na specification zake umbo lake tu ni kali kiasi kwamba unaweza kuitoa hata mbele ya watu ukaanza kubonyeza bonyeza.
Sio unakuwa na simu kama jeneza (ma tecno) ambalo hata mtu kama anataka kukupa deal anaahirisha maana anaweza kuhisi wewe ni tapeli (matapeli wengi wanatumia tecno)

Kioo chake ni cha kisasa kabisa kama samsung s8 na kuendelea
 
Ni wapi amesema yeye hajafanya mambo yake ya msingi? njaa yako usiwahusishe na wengine.haya Maghorofa unayoyaona mjini humu yote ni ya watu na watu wenyewe ndio sisi au unataka tukaishi mars tuwaachie hii dunia yenu?

Bwana matola, kumbuka kushirikisha kichwa kwa kila ulifanyalo.... naona umeamua kuwa mkaidi katika hilii... umeruhusu kichwa kiwe mzigo kwako....
Ungefatilia kwanini nliandika hvyo, ungenielewa... kuna mtu nlimquote....
nakuomba rudi nyuma halafu jaribu kuangalia kwanin nliamua kumquote huyo jamaa na kumjibu namna hyo, mimi siamin kabisa kama utakubali kichwa kiendelee kuwa mzigo kwako, naomba urudie tena na tena... utanielewa.
Barikiwa sana "matola kichwa mzigo"
 
Wakuu habarini za Muda. Mimi ni Member mgeni japo si sana.

Nina budget ya Milion moja. Natàka kununu Simu nzuri . Naombeni Mnishari simu nzuri kwa Experience yako na wapi naweza kununua. Na vipi kuhusu kununua kwa maduka ya Mtandaoni kama Alieexpress, Alibaba,ebay Amazon na mengine.

Msaada wenu pls

Nunua tu, hela si zako au?
 
BEI YA SIMU ZILIZOPENDEKEZWA
1. ONE PLUS 6 - TZS: 1,192,500
OnePlus 6 6GB 64GB
Review Page: https://bit.ly/2I7ZRXb
Picha
1537374690927.png

2. XIAOMI MI 8 - TZS 1,078,020
Xiaomi Mi 8 6GB 128GB
Review: https://bit.ly/2LK6ct2

PICHA
1537374984747.png

4. Xiaomi POCOPHONE F1 POCO F1 TZS- 977,850 ( Hii ndio simu ya kuchukua kulingana na bajeti yako)
6GB 128GB
Review: https://bit.ly/2PLJ2Eu
PICHA
1537377271519.png

Muda: Ndani ya wiki Tatu (3)
Njia ya malipo: Mobile Banking
Mawasiliano: Whatsapp (only) 0784 496 856
Call/SMS: 0717 54 57 62
Maelekezo zaidi Jinsi ya kufanya order ingia hapa: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa - JamiiForums
Kwa simu za mwaka huu kuna choice kama 4 kwa hio budge.

1. One plus 6 (narecomend hii zaidi)
2. Xiaomi mi 8
3. Asus zenfone 5z
4. Pocofone F1
@Mwl.RCT

Huyo ndio anaagizishia.
Naomba tuwasiliane nikupe hela uniagizie
 
Attachments

  • 1537376082306.png
    1537376082306.png
    107 KB · Views: 22
Wakuu habarini za Muda. Mimi ni Member mgeni japo si sana.

Nina budget ya Milion moja. Natàka kununu Simu nzuri . Naombeni Mnishari simu nzuri kwa Experience yako na wapi naweza kununua. Na vipi kuhusu kununua kwa maduka ya Mtandaoni kama Alieexpress, Alibaba,ebay Amazon na mengine.

Msaada wenu pls
Pesa ya mkopo wa serikali unaifanyia mchezo?

Wewe si umejiunga chuo mwaka jana ukaja kuomba ushauri wadau kibao wakakushauri leo hii pesa ya serikali unaichezea hivyo?
 
Kwanza karibu JF, hongera kupata Millioni 1, vipi uliuza nyanya or matikiti!?..
Nakukumbusha tu hutaweza ifuta hii thread huko mbeleni!..
Wacha tuzike tuu mkuu ila natabiri hili kabuli litafukuliwa kwa kilio kizito
 
Back
Top Bottom