Nataka kununua simu ya Milion Moja

Nataka kununua simu ya Milion Moja

Kwa hyo baada ya hapo ntatumaje pesa. Na simu itakuja vipi
Kama una akaunti e-bay ingia tafuta simu unayotaka tegeshea bei ukishinda unailipia unatumiwa. Uwe na akaunti ya Paypal pia utakayoiunga na akaunti yako ya benki.
 
sasa kaka unaonaje ukainnulia mdogo wako simu ya laki1 na nusu
laki8.50 ukachukua simu unayotaka.. tukiongozana hata iphone x utaipata kwa bei hio jinsi ntakavyolia
Ni makubaliano tu wala haisumbui
 
Mkuu hakuna kitu hakina Risk. Maana tunako elekea utasema usinunue simu kali maana hujui utakufa lini
Nakukatalia mkuu, maeneo ni mengi sana na wala huwezi kukutana na hao jamaa. Acha visingizio.
 
Nipe sababu kidogo
Kwanza ina RAM 4Gb na memory 64gb
Pia kwenye upande wa chaji inakaa na chaji na pia inatumia wireless chaji
Sio hivyo tu ni water resistant na umbo lake Zuri kwenye network ina speed ya 4G
images-1.jpg
 
Kwa hyo baada ya hapo ntatumaje pesa. Na simu itakuja vipi
Dhamana yako ni garantii ya e-bay ukizimwa watakurudishia pesa yako ila tangu nianze kununua sijawahi kuzimwa. Ukinunua mtandaoni unaokoa kuanzia 100,000 hadi 200,000 kulinganisha na wauza simu wa Kariakoo au pengine. Paypal itakusaidia kulipa hili jambo lipo e-bay kule kwa hiyo usiulize wakati kujiunga na e-bay ni bure. Kule unaweka anuani yako na namba za simu wakiituma kwa Posta au kwa njia za haraka kama DHL itasafiri ikifika utapigiwa simu utaipokea, utaikagua kisha maisha yanaendelea.
 
Mkuu pilato mke wa kuoa ndo huyu hapa. Ni wewe tu hata mahari hutoi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom