Nataka kununua simu ya Milion Moja

Nataka kununua simu ya Milion Moja

Mkuu naona ni simu nzuri ila naona haina Muundo mzuri au ww unasemaje??
Hiyo simu iko vizuri kwa hizo specifications muundo mie ni kitu kidogo pia haijaundwa kwa Gorilla glass ila mie ndiyo natumia.
 
anhaa sawa utakuja kukumbuka maneno yangu.. muda huo unawaza kwanini usingenunua simu 150k alaf 850k ungewekeza sehemu..
Mkuu mm sihitaji kuwekeza. Business zangu ndo zimenpa hii faida. Kwa maana iyo utasema hata nyumba nisijenge maana ntakufa. Au itaezuliwa na upepe au Tingatinga litabomoa
 
Nimependa specifics hasa Battery ila Muundo wake sio Presentable kabisa
Hiyo simu iko vizuri kwa hizo specifications muundo mie ni kitu kidogo pia haijaundwa kwa Gorilla glass ila mie ndiyo natumia.
 
Mkuu mm sihitaji kuwekeza. Business zangu ndo zimenpa hii faida. Kwa maana iyo utasema hata nyumba nisijenge maana ntakufa. Au itaezuliwa na upepe au Tingatinga litabomoa
kujenga nyumba ni kuwekeza.. huwezi kusema kununua simu ni kuwekeza.. hapo ni kufanya ufahari.. ila kwakuwa umesema mfuko wako unakuruhusu.. sawa we nunua
 
Wakuu habarini za Muda. Mimi ni Member mgeni japo si sana.

Nina budget ya Milion moja. Natàka kununu Simu nzuri . Naombeni Mnishari simu nzuri kwa Experience yako na wapi naweza kununua. Na vipi kuhusu kununua kwa maduka ya Mtandaoni kama Alieexpress, Alibaba,ebay Amazon na mengine.

Msaada wenu pls
Umelogwa na nani? Buni mradi achana na hiyo makitu, Ikidondoka chini unahisi mkojo pmoja na malalamiko mengii..ooh nilichukua mkopo benk
 
Umelogwa na nani? Buni mradi achana na hiyo makitu, Ikidondoka chini unahisi mkojo pmoja na malalamiko mengii..ooh nilichukua mkopo benk
Ndugu yangu, Mwenzio huenda anaingiza zaidi ya hiyo na ikiharibika hiyo ana uwezo wa kununua ingine.. Waswahili walisema Kila Mbuzi atakula kwa Urefu wa Kamba Yake..
 
Umelogwa na nani? Buni mradi achana na hiyo makitu, Ikidondoka chini unahisi mkojo pmoja na malalamiko mengii..ooh nilichukua mkopo benk
Mkuu hata nikijenga nyumba wazee wa bomoabomoa watapita. So ni yaleyale tuu
 
Mkuu naatamani sana nijue haya mambo lakini sina ABC. Tafadhali bila kujali naomba unishike mkono katika hili
Kama una akaunti e-bay ingia tafuta simu unayotaka tegeshea bei ukishinda unailipia unatumiwa. Uwe na akaunti ya Paypal pia utakayoiunga na akaunti yako ya benki.
 
Back
Top Bottom