Nataka kununua simu ya Milion Moja

Heisenberg

JF-Expert Member
Apr 26, 2017
1,111
2,000
Wakuu habarini za Muda. Mimi ni Member mgeni japo si sana.

Nina budget ya Milion moja. Natàka kununu Simu nzuri . Naombeni Mnishari simu nzuri kwa Experience yako na wapi naweza kununua. Na vipi kuhusu kununua kwa maduka ya Mtandaoni kama Alieexpress, Alibaba,ebay Amazon na mengine.

Msaada wenu pls
 
charldzosias

JF-Expert Member
Nov 10, 2013
1,467

kaka.. hizi simu hizi..... hehehe.. sikushauri ununue simu 1m... bora utoe 650k uchukue iphone 6+ au utafute simu tu yenye uwezo mzuri ambayo haizidi600k... maana ukija kuibiwa/kupoteza... utavurugwa sana.... ni ushauri tu
 
Mkuu hata simu ya laki 6 lazima roho iume. Mm nataka kitu roho inapenda.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom