Nataka kununua simu ya Milion Moja

Nataka kununua simu ya Milion Moja

Kwanza karibu JF, hongera kupata Millioni 1, vipi uliuza nyanya or matikiti!?..
Nakukumbusha tu hutaweza ifuta hii thread huko mbeleni!..
 
Wakuu habarini za Muda. Mimi ni Member mgeni japo si sana.

Nina budget ya Milion moja. Natàka kununu Simu nzuri . Naombeni Mnishari simu nzuri kwa Experience yako na wapi naweza kununua. Na vipi kuhusu kununua kwa maduka ya Mtandaoni kama Alieexpress, Alibaba,ebay Amazon na mengine.

Msaada wenu pls
Mkuu chukua Note9 hutajutia nilikuta apo china plaza kkoo flr ya2 mzigo unapiga camera kwa peni huna haja tena kumwomba mtu awapige picha ama kuweka timer na kukimbilia position yako😅😅😅
 
Wakuu habarini za Muda. Mimi ni Member mgeni japo si sana.

Nina budget ya Milion moja. Natàka kununu Simu nzuri . Naombeni Mnishari simu nzuri kwa Experience yako na wapi naweza kununua. Na vipi kuhusu kununua kwa maduka ya Mtandaoni kama Alieexpress, Alibaba,ebay Amazon na mengine.

Msaada wenu pls
Kwa simu za mwaka huu kuna choice kama 4 kwa hio budge.

1. One plus 6 (narecomend hii zaidi)
2. Xiaomi mi 8
3. Asus zenfone 5z
4. Pocofone F1

Zote zina snapdragon 845 hivyo utapata vitu best kama speed ya internet, nguvu ya simu, camera etc.

Hizo brand ni nzuri hata kama si maarufu sana.

Kama unataka brand nzuri unaweza tafuta simu za mwaka jana za snapdragon 835 ambayo nazo pia ni nzuri. Unaweza pata simu kama
-samsung galaxy s8
-huawei mate 10 na p9
-HTC u11 etc
 
Wakuu habarini za Muda. Mimi ni Member mgeni japo si sana.

Nina budget ya Milion moja. Natàka kununu Simu nzuri . Naombeni Mnishari simu nzuri kwa Experience yako na wapi naweza kununua. Na vipi kuhusu kununua kwa maduka ya Mtandaoni kama Alieexpress, Alibaba,ebay Amazon na mengine.

Msaada wenu pls
Kama unataka kuwa salama fuata ushauri wa Chief- mkwawa hasa choice za group la kwanza alizoweka hapo!
 
Milioni nakushauri uchukue used iPhone 8+ au 7+ tu maana mpya kwa bei hiyo hupati.
Achana na habari za android. Baadaye ukijichanga ukapata na macbook basi kazi kwisha.
 
Itadepend, ila ni vyema utumie msafirishaji anayeleweka, si chini ya dola 30.

Ukiamua kujilipua unaweza tumia posta bure ama gharama ndogo kama 5,000 au 10,000

Naomba tuwasiliane nikupe hela uniagizie
 
Sio kila mtu ana hali mbaya mkuu..
Umelogwa na nani? Buni mradi achana na hiyo makitu, Ikidondoka chini unahisi mkojo pmoja na malalamiko mengii..ooh nilichukua mkopo benk
 
Back
Top Bottom