kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,092
Mh! Sidhani kama ni water proofGodoro zuri sana hilo, naskia hilo ndo hua linatumika kwenye gest za Bukoba mana ni water proof 😎
Mimi KE, kwahiyo wanaume mnalaliaga nini?hahaha mwanaume unalaliaje godoro bana😀
Huo siyo ushauriNgoja nije tununue wote tulalie wote 😂
Box au batiMimi KE, kwahiyo wanaume mnalaliaga nini?
Bati lenye misumariBox au bati
NdiyoBati lenye misumari
Umejuaje?Mh! Sidhani kama ni water proof
Mbaga Jr chizi sana 😂Godoro zuri sana hilo, naskia hilo ndo hua linatumika kwenye gest za Bukoba mana ni water proof 😎
Hapa Tz kampuni nyingi hazitengenezi hayo ya waterproofUmejuaje?
Limeanza kubonyeaKwani unalotumia usiku huu lina shida gani?
Asante mkuu, nitafanya hivyoHapo wahasibu Wana misemo Yao utaskia double entry Yani godoro linanunua godoro..
Kama pesa ipo nunua linasaidia kunyosha mgongo
Mh! PoleniBox au bati
TushazoeaMh! Poleni