Nataka kununua godoro kampuni hii, ushauri

Hilo linaitwa Sprung Matress yaani ndani liko hivi...
Sio mbaya, ila linavyozidi kutumika na muda unavyokwenda hasa kama jamaa ni msimamia ukucha, basi hio layer ya juu huwa inadhoofika na mnaanza kuzisikia hio springi kwenye mwili ukilalia....

1760219347577.png

Ila kuna Pocket Sprung, huwa zinakuwa za bei ya juu, ila zina kuwa na springi moja moja zilizovalishwa sponji ambapo hata kama layer ya juu ikiianza kuwa dhaifu, bado husikii hizo spingi ukilala sababu kwa ziko ndani ya spongi yake kila moja....

1760219670996.png
 
Hilo linaitwa Sprung Matress yaani ndani liko hivi...
Sio mbaya, ila linavyozidi kutumika na muda unavyokwenda hasa kama jamaa ni msimamia ukucha, basi hio layer ya juu huwa inadhoofika na mnaanza kuzisikia hio springi kwenye mwili ukilalia....

View attachment 3487269

Ila kuna Pocket Sprung, huwa zinakuwa za bei ya juu, ila zina kuwa na springi moja moja zilizovalishwa sponji ambapo hata kama layer ya juu ikiianza kuwa dhaifu, bado husikii hizo spingi ukilala sababu kwa ziko ndani ya spongi yake kila moja....

View attachment 3487270
Kama ndiyo hivyo ngoja niachane nalo ninunue la kawaida tu
 
Nunua hili godoro ni nzuri, afu sijawahi ona rangi tofauti na nyeupe au maziwa.
Mie ndio ninalo lalia, 6×6. Ila bei ndo imechangamka hatariiii.

Yaan km hela ipo fanya ununue mwayaa, naenjoy usingizi hatariii.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom