Olivia olivia
JF-Expert Member
- Apr 10, 2024
- 1,659
- 3,947
Aliyewahi kufanya hii biashara ya kununua na kuuza mazao,
Nataka kusafiri kwenda mkoa wa katavi, kipindi cha mavuno maana nimeambiwa huko wanalima sana mahindi,
Nataka kununua mahindi, niweke stoo
Baada ya muda bei zikiwa nzuri niuze
Sasa sina mtu huko,na sina uzoefu wowote,