mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,793
- 7,165
nunua gx115 2.5 ukome , kilometa 6-7 kwa lita
Weka mwaka jamaa ya mwaka gani hiyo Mazda?
wakuu naombeni ushauri na msaada kukokotoa gharama za kodi hadi inaingia barabarani
Honda fit
yr = 2004
fob = $ 805
cif = $ 2024
cc= 1330
Toyota ist
yr = 2004
fob = $ 2000
cif = $ 3239
cc= 1290
Natakunguliza shukrani
Mkata kiu shikamoo.
Umenikumbusha Suzuki Alto niliyokua natumia mda si mrefu. Gari tamu mpaka basi. Kidogo lakini kina nguvu balaa. 660cc mafuta ikiingia petrol station hata kama huweki ikinusa harufu tu inasepa.
Average ni kama lita 1 kwa kilomita 16 na AC juu.
Yani kwa mizunguko ya hapa hapa mjini imenisaidia sana. Mafuta ya elfu 30 namaliza wiki nzima na misele ya wikiendi juu.
Bado nawashauri watanzania wenzangu tubadilishe mitazamo juu ya magari. Wengi wananunua magari kufanya show off wakifika kituo cha mafuta wananuna na kukopa.
Balaa.
Dar es Salaam kiujasiriamali vitz, suzuki alto, corolla limited bado zinafaa sana.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Nimejifunza mengi hapa.... Ila vipi kuhusu Suzuki Kei? Thanx
Suzuki Kei ipo poa sana pia. It delivers and above all fuel efficient. Bado naona kwa Dar hakuna ulazima wa kuwa na mgari mkuuubwaaaaa wakati misele yenyewe ni Home-ofisini-home na jumamosi church au kideti na demu wako ambaye hujamuoa. Sana sana kwa mama naniliu naona utakua unaenda kumsalimia naniliu kama bado hamuishi wote ila kama mnaishi wote basi mtakua mwaenda wote job na kupenzika. Tehe tehe tehe
nina carina TI nataka 7.5m tuwasiliane nikuuzie
Mkuu mbona mnataka kuhamia kwenye biashara nyingine sasa? HahahaSawa bibiye lakini usitishike ukiamua utaweza.
Off topic hii avatar mbona siombaya ki ivyo!
Hii inatumia hata maji
ila kama wapenda mashindano ya speed haifai