Nataka kununua gari naomba ushauri!

Nataka kununua gari naomba ushauri!

nakushauri ununue runX ni nzuri na itakupendeza sana nenda pale TZCARS karibu na makutano ya moroko ka unatokea mwenge mkono wa kushoto,very cheap mdau
 
Mi sio mtaalamu sana wa magari lakini magari kama vitz, Spacio fuel consumption yake ni ndogo japo sometimes mafuta yanatumika sana kutokana na matumizi yako wewe mwenyewe, spacio inatumia 1Ltr kwa 15km if i'm not mistaken

swali zuri natamani kujua pia hasa hapo pa kuhusiana na mafuta
 
.

Dar es Salaam kiujasiriamali vitz, suzuki alto, corolla limited bado zinafaa sana.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Mkuu aongeza kwenye hiyo list Suzuki Swift ya mwaka 2003-2004, sio mbaya kwa misele ya mjini. Mafuta vinanusa, na mwendo wake unaweza hata kwenda kwenye East African Safari Rally. Ukitaka ipendeze, badilisha tairi na kuweka 185 x 70 x 14, rim inaweza kubaki ile iliyokuja nayo. Usifanya madoido ya kwenda kuinyanyua, gari inakakamaa, iankuwa hainese unapopita kwenye mabonde.
 
mkuu niliko bold inakuaga ni madoido?? au wakati mwingine huwa inalazimu hasa kwa gari zilizochini sana na kwa nature ya barabara zetu.
 
Mkata kiu shikamoo.
Umenikumbusha Suzuki Alto niliyokua natumia mda si mrefu. Gari tamu mpaka basi. Kidogo lakini kina nguvu balaa. 660cc mafuta ikiingia petrol station hata kama huweki ikinusa harufu tu inasepa.
Average ni kama lita 1 kwa kilomita 16 na AC juu.
Yani kwa mizunguko ya hapa hapa mjini imenisaidia sana. Mafuta ya elfu 30 namaliza wiki nzima na misele ya wikiendi juu.
Bado nawashauri watanzania wenzangu tubadilishe mitazamo juu ya magari. Wengi wananunua magari kufanya show off wakifika kituo cha mafuta wananuna na kukopa.
Balaa.
Dar es Salaam kiujasiriamali vitz, suzuki alto, corolla limited bado zinafaa sana.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Taabu kama unakaa milima ya goba na barabara mbovu
 
Hivi why watanzania tunathamini uongo au kujifanya tunajua wakati watujui au kujifanya tunacho wakati hatuna.
Toyota corolla 111 cc zake ni kuanzia 1490 hadi 2000 sasa basi kwa gari hiyo hata uipeleke kwa mchungaji ikaombewe haiwezi kutumia sh elfu 20 kwa week. Hata usipowasha ac. Mimi nimekaa bamaga na ofisi posta nilikuwa natumia starlet na kila nilikuwa naweka petrol elfu 10 . Great thinker tujitahidi tuwe wakweli. Kutokujua kitu si dhambi

Kaka usiongee kitu usichokua na uhakika nacho,,, mi naitumia ndo nimekuja nayo kazini asubuh ina cc 1300 sasa kama wewe yako ina cc zaidi ya hiyo labda ni aina nyingine siwezi kukubishia,, ni Corolla 111 model ya 1997, kama unabisha unaweza ukafanya uchunguzi kama hakuna za cc nayokwambia..

USIBISHE KWA MBWEMBWE KAMA HUNA UHAKIKA HUMU TUNASAIDIANA MAWAZO UTAFUTE SIFA KWA NANI WAKATI HATUJUANI KIUHALISIA MAANA TUNATUMIA I'd

Nakupa na serial number of my Car ili uipeleleze vizuri. EE111-5037263 na engine yangu ni 4E-FE from Toyota motor corpolations,,,, hii gari imeingizwa 3 years ago na naitumia kila siku labda niwe safari... Na wakati tunaiagiza B mkubwa alitumia 7m only kwenye kila kitu hadi tunaiweka barabarani as kipindi kile TRA walitumia invoice price ku calculate Kodi,, hawakutumia data base price kama nowdays wanavyofanya...

Tuliosoma mzumbe watu kama nyinyi mnaobisha kwa kukurupuka halafu hamna uhakika huwa tunamalizia na neno PUMBAVU SANA FORM 1..

we kama unaona magari ishu ya kujitambia.. wengine toka tunazaliwa tunayaona yakitufata hospitali, miaka yote ya primary, secondary yanatupeleka na kutufata shule so sio kitu cha ajabu kama unavyodhani...

Na amini ungekuwa unanijua ungenuna hadi ungepasuka maana watu kama nyinyi mnaofikiri usuchokijua wewe yule hakijui au wewe unachowaza utakipata lini kuna watu wanawaza watakitupa lini binadamu tunatofautiana kuanzia tulipozaliwa hadi tutakapofia sasa usilete mbwembwe kwa usichokijua..

Sister kama unamsikiliza huyu jamaa endeleeni,,, I am sorry siwezi kuongea chochote hapa maana msaada umekuwa nakudanganya
 
Soon wakati naanza job nilipewa corolla 111 na B mkubwa inisaidie movement za mjini,,, nikawa nalalamika gari haina swaga si unajua ujana nini nikakopa hela somewhere nikanunua GX 110 mbona nilikoma kuanzia mafuta, spares mpaka nikaikumbuka corolla yangu niliyoirudisha home kwa kejeli..

Mambo yalivyozidi unga nikaliuzilia mbali tena kwa bei ya hasara nikarudi home kinyonge kuifata corolla yangu ya zawadi,, ndo nasukuma nayo mpaka leo mwaka wa pili huu lakini kama mpya, nakaa mwenge nafanya kazi town budget ya mafuta 20,000 wiki nzima na sishushi kioo,, vifaa bei rahisi mbaya nikagundua kweli ukubwa dawa,,, na sina mpango wa kubadilisha kabisa maana sitaki stress.. Nimeshaapa sitanunua magari ya mbwembwe mpaka nakufa nawashangaa tu vijana wanavyokimbilia Verossa nowdays,,, nawacheka tu na corolla yangu haina stress za mafuta mda wote unakula A.C kitu lita moja una km almost 15 za ac,,

Ila raum 2004 ina shape nzuri na inatumia spare za corolla haina stress kabisa,,

Kha! we jamaa leo umenichekesha sanaaa!!
 
Kaka usiongee kitu usichokua na uhakika nacho,,, mi naitumia ndo nimekuja nayo kazini asubuh ina cc 1300 sasa kama wewe yako ina cc zaidi ya hiyo labda ni aina nyingine siwezi kukubishia,, ni Corolla 111 model ya 1997, kama unabisha unaweza ukafanya uchunguzi kama hakuna za cc nayokwambia..

USIBISHE KWA MBWEMBWE KAMA HUNA UHAKIKA HUMU TUNASAIDIANA MAWAZO UTAFUTE SIFA KWA NANI WAKATI HATUJUANI KIUHALISIA MAANA TUNATUMIA I'd

Nakupa na serial number of my Car ili uipeleleze vizuri. EE111-5037263 na engine yangu ni 4E-FE from Toyota motor corpolations,,,, hii gari imeingizwa 3 years ago na naitumia kila siku labda niwe safari... Na wakati tunaiagiza B mkubwa alitumia 7m only kwenye kila kitu hadi tunaiweka barabarani as kipindi kile TRA walitumia invoice price ku calculate Kodi,, hawakutumia data base price kama nowdays wanavyofanya...

Tuliosoma mzumbe watu kama nyinyi mnaobisha kwa kukurupuka halafu hamna uhakika huwa tunamalizia na neno PUMBAVU SANA FORM 1..

we kama unaona magari ishu ya kujitambia.. wengine toka tunazaliwa tunayaona yakitufata hospitali, miaka yote ya primary, secondary yanatupeleka na kutufata shule so sio kitu cha ajabu kama unavyodhani...

Na amini ungekuwa unanijua ungenuna hadi ungepasuka maana watu kama nyinyi mnaofikiri usuchokijua wewe yule hakijui au wewe unachowaza utakipata lini kuna watu wanawaza watakitupa lini binadamu tunatofautiana kuanzia tulipozaliwa hadi tutakapofia sasa usilete mbwembwe kwa usichokijua..

Sister kama unamsikiliza huyu jamaa endeleeni,,, I am sorry siwezi kuongea chochote hapa maana msaada umekuwa nakudanganya

mkata kiu hakika hapa umeu.
pole naona jamafa amekutoa omo kidogo.?
 
mkuu niliko bold inakuaga ni madoido?? au wakati mwingine huwa inalazimu hasa kwa gari zilizochini sana na kwa nature ya barabara zetu.

Mkuu neggirl, nayaita "madoido", kwa sababu gari sio kitu cha kukurupuka kununua, lazima ufanye consultation kama unavyofanya wewe sasa, na ukishalinunua unatakiwa ukae nalo muda, kwa kuwa ukitaka kuliuza ghafla, hata kama halina shida watu watasema lina tatizo. Tangu unapofikiria kununua gari, unafikiria pia ni kwa ajili ya matumizi gani na aina ya bara bara (nature ya barabara) ambazo utakuwa unapita mara nyingi, safari ndefu au fupi. Sio maamuzi mazuri mtu anafahamu kuwa anakaa sehemu yenye mabonde, ananunua gari ambayo iko chini, halafu anainyanyua. Itanyanyuka lakini itakuwa hainesi ukipita kwenye mabonde, inaweza kuwa inakata spring. Ni sawa na kuoa au kuolewa na mtu ambaye unaona tabia haziendani, halafu unasema utamrekebisha katika ndoa. Likewise, kunyanyua gari ni gharama nyingine tofauti na ile uliyonunulia, ni afadhali kama pesa ilikuwa haitoshi kununua linaliongana na mazingira ya eneo husika, unavumilia kidogo ukizichanga, kuliko kununua fupi, halafu ukipita kwenye mawe, gari ikigonga chini unaisikilizia tumboni na kwenye meno. Ni ushauri tu Mkuu, kwa kuwa wote tunatakiana yaliyo ya heri.
 
Last edited by a moderator:
Kaka usiongee kitu usichokua na uhakika nacho,,, mi naitumia ndo nimekuja nayo kazini asubuh ina cc 1300 sasa kama wewe yako ina cc zaidi ya hiyo labda ni aina nyingine siwezi kukubishia,, ni Corolla 111 model ya 1997, kama unabisha unaweza ukafanya uchunguzi kama hakuna za cc nayokwambia..

USIBISHE KWA MBWEMBWE KAMA HUNA UHAKIKA HUMU TUNASAIDIANA MAWAZO UTAFUTE SIFA KWA NANI WAKATI HATUJUANI KIUHALISIA MAANA TUNATUMIA I'd

Nakupa na serial number of my Car ili uipeleleze vizuri. EE111-5037263 na engine yangu ni 4E-FE from Toyota motor corpolations,,,, hii gari imeingizwa 3 years ago na naitumia kila siku labda niwe safari... Na wakati tunaiagiza B mkubwa alitumia 7m only kwenye kila kitu hadi tunaiweka barabarani as kipindi kile TRA walitumia invoice price ku calculate Kodi,, hawakutumia data base price kama nowdays wanavyofanya...

Tuliosoma mzumbe watu kama nyinyi mnaobisha kwa kukurupuka halafu hamna uhakika huwa tunamalizia na neno PUMBAVU SANA FORM 1..

we kama unaona magari ishu ya kujitambia.. wengine toka tunazaliwa tunayaona yakitufata hospitali, miaka yote ya primary, secondary yanatupeleka na kutufata shule so sio kitu cha ajabu kama unavyodhani...

Na amini ungekuwa unanijua ungenuna hadi ungepasuka maana watu kama nyinyi mnaofikiri usuchokijua wewe yule hakijui au wewe unachowaza utakipata lini kuna watu wanawaza watakitupa lini binadamu tunatofautiana kuanzia tulipozaliwa hadi tutakapofia sasa usilete mbwembwe kwa usichokijua..

Sister kama unamsikiliza huyu jamaa endeleeni,,, I am sorry siwezi kuongea chochote hapa maana msaada umekuwa nakudanganya

Ha ha ha ha!!! naona umemshukia jamaaa vya kutosha, atakuwa ameipata tuu. hajui kuwa humu hatudanganyani maana hakuna faida yoyote utakayoipata hata ukidanganya. Kuna gari zingine zinakuwa za aina moja lakini ukubwa wa injini unakuwa na cc tofauti kabisa. Kama anabisha afuatilie hata www.tradevarview.com
 
Dada juu umeshauriwa vizuri sana,hachana na vitu vinavyoonekana cheap,vitz ya Mwaka 1999!!hiyo bei ukiweka na kuisafirisha italeta hesabu ile ile 9.5ml maana ushuru pamoja na gharama za Bandarini zawezafika 4++ml...jiandae upate kitu kizuri,ninauzoefu sana na magari yanayoonekana cheap online,Kama mkatakiu alivyokushauri mwanzo inatosha,
 
Mkuu luck sabasaba, nakuunga mkono. Ogopa magari ambayo ni cheap kwenye mtandao. Nimeshuhudia kwa macho tuliona the same model and specifications katika mtandao moja CIF ikiwa 2650 na nyingine 3500 nika-opt 3500 na my co-worker aka-opt 2650 coz it was cheap. Ni mwaka sasa lakini yeye amekuwa rafiki na mafundi gereji na sasa madalali. Mimi home -job-home, misele ya mjini, vikao vya arusi, send off, kanisani ni mwendo wa mdundo.
 
Last edited by a moderator:
Nina mazda demio bado mpya cc 1300 nataka 8m
 
Kaka usiongee kitu usichokua na uhakika nacho,,, mi naitumia ndo nimekuja nayo kazini asubuh ina cc 1300 sasa kama wewe yako ina cc zaidi ya hiyo labda ni aina nyingine siwezi kukubishia,, ni Corolla 111 model ya 1997, kama unabisha unaweza ukafanya uchunguzi kama hakuna za cc nayokwambia..

USIBISHE KWA MBWEMBWE KAMA HUNA UHAKIKA HUMU TUNASAIDIANA MAWAZO UTAFUTE SIFA KWA NANI WAKATI HATUJUANI KIUHALISIA MAANA TUNATUMIA I'd

Nakupa na serial number of my Car ili uipeleleze vizuri. EE111-5037263 na engine yangu ni 4E-FE from Toyota motor corpolations,,,, hii gari imeingizwa 3 years ago na naitumia kila siku labda niwe safari... Na wakati tunaiagiza B mkubwa alitumia 7m only kwenye kila kitu hadi tunaiweka barabarani as kipindi kile TRA walitumia invoice price ku calculate Kodi,, hawakutumia data base price kama nowdays wanavyofanya...

Tuliosoma mzumbe watu kama nyinyi mnaobisha kwa kukurupuka halafu hamna uhakika huwa tunamalizia na neno PUMBAVU SANA FORM 1..

we kama unaona magari ishu ya kujitambia.. wengine toka tunazaliwa tunayaona yakitufata hospitali, miaka yote ya primary, secondary yanatupeleka na kutufata shule so sio kitu cha ajabu kama unavyodhani...

Na amini ungekuwa unanijua ungenuna hadi ungepasuka maana watu kama nyinyi mnaofikiri usuchokijua wewe yule hakijui au wewe unachowaza utakipata lini kuna watu wanawaza watakitupa lini binadamu tunatofautiana kuanzia tulipozaliwa hadi tutakapofia sasa usilete mbwembwe kwa usichokijua..

Sister kama unamsikiliza huyu jamaa endeleeni,,, I am sorry siwezi kuongea chochote hapa maana msaada umekuwa nakudanganya

Wakati namaliza high school nilitaka kwenda mzumbe wakati ilikuwa inatoa advance diploma . kuna prof mmoja akanishauri akaniambia mzumbe ni viwango duni. Pia akaniambia hata wakimaliza pale wakitaka kwenda kusoma masters mlimani hawa hawachukuliwi labda waanze na post graduate. Pia akaniambia ukitaka ku prove nenda katembee hapo mzumbe harafu sikiliza wanafunzi reasoning na vision zao.......nilikuja ku prove mwenyewe baadae .....sasa je kulikuwa na sababu yeyote ya kutueleza umemaliza mzumbe? Mzumbe na gari wapi na wapi. Watu wote hapa tunatumia I'd . Tunaweza kujitangaza lakini hapa si mahala pake. Kwa maelezo yako ni kuwa umewahi kumiliki gari lako mwenyewe la kununua as ulivyosema ni moja na likakushinda ukaliuza ukarudi kwenye gari la bure la mama yako [kijana wa kiume working class graduate unaweza kuingia kwenye social media na kujitangaza kuwa unatumia gari ya mama!] . Kwahiyo wewe magari huyajui au kwa lugha nyingine ni mshamba wa magari.hutakiwi kumpa mtu yeyote ushauri kuhusu gari labda bajaji.......kwa gari uliyoitaja let's say ina cc 1300 ukitumia na ac utatumia lita 1 kwa km 12 au 13 . Hiyo bila foleni....... Harafu unaufahamu umbali wa mwenge to posta per km? Kwenda na kurudi unasema week moja eti unatumia elfu 20 ya petrol. Labda hufanyikazi unafanya project ya form 4 mara mbili kwa week. Siku nyingine kwenye vijiwe vya wanaume usiongee story hizo watakushika masaburi [elfu 20 kwa week hiyo gari au pikipiki]
 
Mkuu unajua wengine hawaelewi kuwa mtu anapouliza anataka msaada sasa unapodanganya sijui iweje!

Umbali wa kutoka mwenge to posta ni around kilometer 10 . Tz sasa hivi petrol si chini ya sh 2000 .dar es salaam hivi sasa kuna watu wamepaki magari yao nyumbani wanapanda daladala coz of mafuta. Na wanapanda zile daladala au kuna coaster za pale mwenge zina ac za sh 500 hadi buku to posta. So kwenda na kurudi wanatumia kama 2000. Hivi kama ingekuwa anavyosema mkatakiu kuwa gari yake pamoja na ac inatumia elfu 20 kwa week kwa petrol. Great thinker jiulize mwenyewe hilo swali. Sasa hivi jf imevamiwana vishoka na sio great thinker
 
Wakati namaliza high school nilitaka kwenda mzumbe wakati ilikuwa inatoa advance diploma . kuna prof mmoja akanishauri akaniambia mzumbe ni viwango duni. Pia akaniambia hata wakimaliza pale wakitaka kwenda kusoma masters mlimani hawa hawachukuliwi labda waanze na post graduate. Pia akaniambia ukitaka ku prove nenda katembee hapo mzumbe harafu sikiliza wanafunzi reasoning na vision zao.......nilikuja ku prove mwenyewe baadae .....sasa je kulikuwa na sababu yeyote ya kutueleza umemaliza mzumbe? Mzumbe na gari wapi na wapi. Watu wote hapa tunatumia I'd . Tunaweza kujitangaza lakini hapa si mahala pake. Kwa maelezo yako ni kuwa umewahi kumiliki gari lako mwenyewe la kununua as ulivyosema ni moja na likakushinda ukaliuza ukarudi kwenye gari la bure la mama yako [kijana wa kiume working class graduate unaweza kuingia kwenye social media na kujitangaza kuwa unatumia gari ya mama!] . Kwahiyo wewe magari huyajui au kwa lugha nyingine ni mshamba wa magari.hutakiwi kumpa mtu yeyote ushauri kuhusu gari labda bajaji.......kwa gari uliyoitaja let's say ina cc 1300 ukitumia na ac utatumia lita 1 kwa km 12 au 13 . Hiyo bila foleni....... Harafu unaufahamu umbali wa mwenge to posta per km? Kwenda na kurudi unasema week moja eti unatumia elfu 20 ya petrol. Labda hufanyikazi unafanya project ya form 4 mara mbili kwa week. Siku nyingine kwenye vijiwe vya wanaume usiongee story hizo watakushika masaburi [elfu 20 kwa week hiyo gari au pikipiki]

Naona umehamia kwenye ubishi wa km sasa? Haya sema wewe maana mwanzo ulianza na corolla 111 haina cc chini ya 1500,,, naona umeamua kubishana...

Kuna mambo mengi ya kufanya na kubishana sio dili nowdays..

Hata tukisema kwa formula yako ya 12km bado buku 20 inafikisha siku 5 za kwenda kazini katika wiki..

Kutoka mwenge mpaka posta na kurudi ni almost 18km, na ukiweka elfu 20 unapata 10litre sasa fanya hesabu mwenyewe kwa 18X5 is equal to 90km ambazo ni siku 5 za wiki za kwenda job from J3 to ijumaa...

kisha gawanya kwa km 120km unazopata ukiwa na litre 10 halafu ulete jibu mwenyewe..

Samahani sana kama nimekukwaza ila uwezo wa wazazi unatofautiana kama mzaz ameamua kukupa zawadi kiusafiri kikusaidie unatufundisha tukikatae maana kitakufanya uwe boya?

Wangapi wanapewa hadi nyumba na wazazi wao zawadi na wanafanyiwa mengineyo mengi...

Mshukuru Mungu kwa kila jambo,, kama amempa mzazi wako uwezo wa kukupa zawadi yeyote haimaanishi yeye ni mjinga au unayepokea ni mjinga, maana kuna watu wengi wanafanyiwa zaidi ya hayo na wazazi wao... Also hata kama sijanunua kwa pesa yangu lakini nimekuwa na access ya car sana za aina tofauti sehem nilipokulia so najua zaidi ya corolla 111 na hiyo Gx 110,,nina access ya kutumia gari tofuti toka nipo tegemezi,,,

So ni ushauri tu kwa uelewa wangu lakini kama wewe unayajua zaidi karibu utupe ushauri cha muhimu dada yetu apate gari nzuri hapo juu kama alivyoomba ushauri
 
Back
Top Bottom