Nataka kumuua mbwa

Nataka kumuua mbwa

Utakuwa umeanza kufuga hivi karibuni bila shaka'ukikaa na mbwa muda mrefu sana hatakaa uwaze kuwauwa wanakuwa sehemu ya familia.
Mkuu; Umenena kwa uhakika. Mi nimekuwa nafuga mbwa sasa ni zaidi ya miaka ishirini (for more than 20 yrs),lakini nakumbuka tukio moja la mimi kutoa ruhusa ya kumpiga risasi mbwa wangu mmoja tu (palikuwa na shida ya ukali- yaani mtu akitaka kuja kwangu sharti apige simu kuomba kibali, walevi waliihama njia inayopita karibu na hapa kwangu, wavushaji na wavushwaji walishaimark hiyo njia, nilishtakiwa mahakamani kwa madhara aliyowasababishia watu n.k. n.k.) na tukio hilo liko akilini mwangu hadi leo. Utaathirika kisaikolojia.
 
Mkuu na ww ukipungua makali uuwawe? au kipato chako kikipungua uuwawe?
 
Nimemuelewa nilivyomuelewa nikaamua kupiga kimya coz hainiongezei wala kunipunguzia. I got nothing from this.
Hana shida ya kumuua huyo kajisikia kutuonyesha tuu ingekuwa ana shida kweli wala asingejisumbua kuja kuuliza humu..
Alafu kingine huyo mbwa haishi hivi hivi kuna huduma za karibu za kiu doctor anapatiwa kwa mwezi hivyo ni lazma mmliki atakuwa anajuana na madoctor hapo ushauri angechukua kwa doctar asingeomba humu
Kingine kama kweli anataka kumuua kuna dawa( sumu) zinauzwa maduka ya kilimo na mifugo unamchoma kwa njia ya sindano na sekunde kadhaa anakufa..
 
Jamani!! habari wandugu
baada ya kuona mbwa wangu kipindi hiki amepungua makali sasa nataka nimuondoe, naomba mnisaidie nimuwekee dawa(sumu) gani ili afe je? sumu ya panya inafaa nimeandaa nyama ya ng'ombe ili nimchanganyie kwenye chakula chake na hiyo sumu.
Wale wajuzi Wa mbwa nipeni namna nzuri View attachment 828470
Nipe mimi huyo mbwa
 
Kama ni huyo kwenye picha tufanye biashara..
 
Jamani!! habari wandugu
baada ya kuona mbwa wangu kipindi hiki amepungua makali sasa nataka nimuondoe, naomba mnisaidie nimuwekee dawa(sumu) gani ili afe je? sumu ya panya inafaa nimeandaa nyama ya ng'ombe ili nimchanganyie kwenye chakula chake na hiyo sumu.
Wale wajuzi Wa mbwa nipeni namna nzuri View attachment 828470
Ahsante ya kukulinda ndio hiyo? Ama kweli kwenye watu kumi binadam mmoja
 
Ungeweka picha ya mbwa mwenyewe ungepata ushauri mzuri wala usihitaji kumwua tena.

ukifuga mnyama siku unataka kumwuuza unajisikia vibaya simbuse kumwuua.
 
Sumu ya panya ile ya chenga chenga ukimchanganyia na hiyo nyama uliyoiandaa hatochukua dakika kwisha
 
Muuzie MTU awe wa MBEGU kuliko kumuuwa, utakuwa huna fadhila kama waitara pale alipokuwa mkali kabla ya wezi kufanya yao.Au mpeleke shule akasome kozi zinafundishwa.
 
Mpeleke shule mkuu akapate mafunzo akirudi ujipange
mange-in-dogs-05.jpg
mange-in-dogs-05.jpg


Huyu atakimbizwa na panya..hawezi mafunzo
 
Back
Top Bottom