GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,709
- 109,144
Unataka kuja kuomba kazi ya u house boy?
Yap Mkuu na sitoishia hapo bali kwa Uwajibikaji wangu uliotukuka nitaomba pia part time ya kusafisha Uvungu wa Bidashi wako hasa kwa kupunguza Pori lake la Ihefu lililosheheni magugu na miba mingi. Na naweza nikafikiria kuomba tena part time nyingine Kwako ili angalau niwe nakupiga brashi ya hapa na pale.