Nataka kumuoa Magreth Kakoko

Unataka kuja kuomba kazi ya u house boy?

Yap Mkuu na sitoishia hapo bali kwa Uwajibikaji wangu uliotukuka nitaomba pia part time ya kusafisha Uvungu wa Bidashi wako hasa kwa kupunguza Pori lake la Ihefu lililosheheni magugu na miba mingi. Na naweza nikafikiria kuomba tena part time nyingine Kwako ili angalau niwe nakupiga brashi ya hapa na pale.
 
Nimekuweka kiporo kwa sababu maalum
 
Wakuu huyu dada namuhusudu sana natamani siku moja awe mke wangu tuwe tunapika na kupakua chungu kimoja.

Sababu kuu ya kumpenda huyu dada ni kwa sababu anajipenda ,anajiheshimu pia ana uwezo mkubwa sana wa kiakili

Amekuwa akiingia kumi bora za wanafunzi bora kitaifa kama kumi bora za darasani kwao vile

Alipokuwa kidato cha pili alikuwa wa kwanza kitaifa,alipokuwa kidato cha nne amekuwa wa pili kitaifa ,pia alipokuwa kidato cha sita amekuwa wa kwanza kwenye kundi la wasichana wanaochukua masomo ya sayansi kitaifa akitokea mchepuo wa PCM na alipata daraja la kwanza point 4,na alipokuwa kidato cha nne alipata daraja la kwanza point 7

Nipo radhi kumuhonga hata nyumba ili nimpate, naimani ndoto yangu itatimia

Mzee Kakoko najua upo humu ,natamani niwe mkwe wako
Akili ipo tatizo ana maji mengi
 
Sawa nimekubali kuwa Mimi Mswahili Mkuu tena wala hujakosea nimezaliwa Mwananyamala, nimekulia Manzese, nimesomea Tandale na nimeyaanza maisha na hadi sasa naishi zangu huku Tandika. Ila naomba tu kujua mwenzangu Wewe unaishi uzunguni ipi kati ya hizo nilizokutajia?

Nataka kuwa na nywele za kiarabu

Leo nimejifungia ndani nimelia kutwa nzima

Huyo ndio Yeezus
Sawa nimekubali kuwa Mimi Mswahili Mkuu tena wala hujakosea nimezaliwa Mwananyamala, nimekulia Manzese, nimesomea Tandale na nimeyaanza maisha na hadi sasa naishi zangu huku Tandika. Ila naomba tu kujua mwenzangu Wewe unaishi uzunguni ipi kati ya hizo nilizokutajia?
 
Duh, kweli dunia ina mambo unampenda mwanamke kwa sababu tu amefaulu vizuri, sasa ukikuta huko chini na maji tu na hawezi shughulika utafanyaje, mwanamke anapendewa kazi yake aliyoumbiwa amfanyie mwanaume, hivyo vingine ni upuuzi tu, ndio maana watu wengi wana michepuko kwa kuoa kutoangalia kazi muhimu ya mwanamke kwa mwanamme
 
Nimekuweka kiporo kwa sababu maalum

Wala usiogope Mkuu Wewe funguka tu kwani umenikuta Mtu mwenyewe naturally ni Risk Taker na mshipa wangu wa kuogopa au kutishika ulikatwa na Sister Magdalena pale Agha Khan Hospital miongo mitatu na nusu iliyopita wakati nawasili rasmi duniani.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom