Nataka kumuoa Magreth Kakoko

Nataka kumuoa Magreth Kakoko

Mkuu tusipoteze lengo la thread yako

Pambana umpate Magret kakoko
Nimeuliza tu mkuu

Naomba unijibu tafadhari ,upo ngazi gani ya kielimu

Na elimu inauhusiana vipi na mahusiano ya kimapenzi
 
Yeezus bwana badala uhuzunike jamaa yako yupo gerezani. Halafu vp mtoto chimpa anasemaje au ulisha mpiga chini
 
Naona ahadi yako ya kumpaisha imetimia sasa hatari yake ni kuwa umemwaga mchele kwenye kuku wengi tena wa soko LA tandale.....
Utakuja stukia wamemmega wengine kabisa si umewatamanisha mwenyewe
 
Wenye akili hawaolew siku iz hatutaki kelo za kila sku ndan ya nyumbaaa
 
Naona ahadi yako ya kumpaisha imetimia sasa hatari yake ni kuwa umemwaga mchele kwenye kuku wengi tena wa soko LA tandale.....
Utakuja stukia wamemmega wengine kabisa si umewatamanisha mwenyewe
Lini tumekaa mimi na wewe nikakwambia kuhusu hili suala?

Umbeya wameumbiwa wanawake ,mwanaume ukiwa mbeya kuna walakini
 
Back
Top Bottom