Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 23,877
- 31,634
- Thread starter
- #41
Kwa hiyo wewe unapenda kuoa mwanamke ambaye dishi limeyumba?Wenye akili hawaolew siku iz hatutaki kelo za kila sku ndan ya nyumbaaa
Kwa hiyo wewe unapenda kuoa mwanamke ambaye dishi limeyumba?Wenye akili hawaolew siku iz hatutaki kelo za kila sku ndan ya nyumbaaa
Vp bado mpo nae au mliachanaYupo china anasoma ,anasomea mambo ya electrical engineering
NdyoKwa hiyo wewe unapenda kuoa mwanamke ambaye dishi limeyumba?
Ningekuwa namdharau ningempamba hivyo?Acha Upumbavu na Ushamba Wewe kama Demu kakukataa au mmeshindwana si jambo la busara kuleta humu JF picha yake Kinafiki ili kumchoresha kwa Kigezo cha kuwa eti unampenda. Wewe sidhani kama ni Gentleman kweli na unawakilisha humu Wanaume wa hovyo hovyo.
Siku zingine muwe mnatuwekea na Mama zenu Wazazi pia ili tuwadadavue vizuri na siyo tu kuwaonea Dada za wengine. Kwa uzoefu wangu uliotukuka na utaalam wangu wa Psychology nina uhakika tena 100% kuwa huu uzi umeunzisha maksudically kabisa ili umdhalilishe Dada wa Watu.
Nimekudharau mno.
Hapana !Umependa fizi zake nini mkuu!
Ningekuwa namdharau ningempamba hivyo?
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Eti unanidharau ,kwani wewe ndiye unanipa bando la kujiungia humu JF?
Changanya makalio usepe ,hujaitwa humu hizo zinaitwa shobo dundo
Hahaaaaaaaaaaaa. Majibu yako tu H no Y ndio yanafurahishaNingekuwa namdharau ningempamba hivyo?
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Eti unanidharau ,kwani wewe ndiye unanipa bando la kujiungia humu JF?
Changanya makalio usepe ,hujaitwa humu hizo zinaitwa shobo dundo
itakuwa Id yake nyingine hiiKuna mdau kadai hapo juu, wewe ni Hr666 hajakosea
Haya kalagabahoNdyo
Hiyo Picha uvaaji wake mbona sio kabisa na mavazi ya kujiheshimu? half ya mwili wake unaonekana vizuri... sema wewe umemtamani tu waache watoto wa kike wasome usiwatamanishe tamanishe washindwe kusoma vizuri yaani wakuwaze wewe huku... kumbe bonge la mbabu akikuona anasepa fasterHapana !
Nimependa jinsi anavyojiheshimu, anavyovaa ki stara , juhudi zake kwenye masomo kwa sababu sio kitu kidogo msichana kuweza kuingia kwenye kundi la wanafunzi bora kitaifa zaidi ya mara mbili
Aisifuye mvua imemnyea ,Peleka huko chembechembe zako za Umagomeni Mapipa kwa Macheni. Mwanaume aliyekamilika hawezi kuwa Kibushuti kama ulivyo. au mwenzetu Wewe ni JIKESHUPA?
Aisifuye mvua imemnyea ,
Huko magomeni mapipa sijui kwa macheni mnapajua nyie mnaokaa uswahilini ,so tafuta waswahili wenzako mpajadili sio mimi
Mswahili hupati shida kumjua ,Hebu nitajie huko uzunguni Kwako unakokaa ili nikupe wasifu wa hilo eneo. Na kwa ulivyo Mpumbavu najua utakurupuka tu na kusema kuwa unaishi sijui Oysterbay au Masaki au Msasani au Mikocheni au Upanga au Kijitonyama au Makumbusho au Mbezi Beach. Nasubiri unijibu unapoishi ili nikuwashe vizuri ili uupate usingizi mujarab kwa wakati mubashara kabisa. Huwa nawapenda mno Washamba kama nyie na leo ukifanya mzaha nitakesha na Wewe humu!
Go and ask Mr CalendarLini mnafungua chuo?
Mswahili hupati shida kumjua ,
Majibu yake tu ni udhihirisho tosha
Imeandikwa usibishane na mjinga nawe utakuwa mjinga
Unataka kuja kuomba kazi ya u house boy?Sawa nimekubali kuwa Mimi Mswahili Mkuu tena wala hujakosea nimezaliwa Mwananyamala, nimekulia Manzese, nimesomea Tandale na nimeyaanza maisha na hadi sasa naishi zangu huku Tandika. Ila naomba tu kujua mwenzangu Wewe unaishi uzunguni ipi kati ya hizo nilizokutajia?