Nataka kumuoa huyu single mother

Nataka kumuoa huyu single mother

Nimeshamfanyia visa vya kila aina ili anichoke lkn naona ameniganda tu. Haniombi ela na hana usumbufu wa kijinga, ananipa uhuru ninaoutaka.

Anajiheshimu na ananiheshimu na kwenye uwanja wa futi sita yuko vizuri ile mbaya, anajua kuifinyia kwa ndani

Nina miaka miwili naishi nae lkn sijawahi kwenda hata kujitambulisha kwao. Tulianza maisha ya kulala ktk kigetto tu chenye kagodoro tunatandika chini mpaka sasa tumepanga upande mzima wa mjengo na kuna kiwanja amenihimiza nikinunue tuanze ujenzi..

Kasoro pekee ni single mother, mtoto wake yupo analelewa na bibi wa upande wa baba. Msela aliyemzalisha hana mishe ya kueleweka anapiga debe stendi, ni dizaini ya wale wana wanaovaa majinzi ya kuchanika chanika na kunyoa viduku. Anadai walishaachana..

Wazoefu mliooa single mothers njooni mnipe muongozo..
Sinyanyuki niueni! Halalisha single mother kwa kauli mbiu simwachi niueni.
 
Inawezekana kutokana na uzoefu wa maisha amejifunza umuhimu na nafasi ya Mwanaume kwenye maisha yake, au ameumbwa na Tabia Nzuri tu, ndio maana anakuheshimu, mchukue ila umwonyeshe kumjali wakati ukiwa na nafasi.
 
Nimeshamfanyia visa vya kila aina ili anichoke lkn naona ameniganda tu. Haniombi ela na hana usumbufu wa kijinga, ananipa uhuru ninaoutaka.

Anajiheshimu na ananiheshimu na kwenye uwanja wa futi sita yuko vizuri ile mbaya, anajua kuifinyia kwa ndani

Nina miaka miwili naishi nae lkn sijawahi kwenda hata kujitambulisha kwao. Tulianza maisha ya kulala ktk kigetto tu chenye kagodoro tunatandika chini mpaka sasa tumepanga upande mzima wa mjengo na kuna kiwanja amenihimiza nikinunue tuanze ujenzi..

Kasoro pekee ni single mother, mtoto wake yupo analelewa na bibi wa upande wa baba. Msela aliyemzalisha hana mishe ya kueleweka anapiga debe stendi, ni dizaini ya wale wana wanaovaa majinzi ya kuchanika chanika na kunyoa viduku. Anadai walishaachana..

Wazoefu mliooa single mothers njooni mnipe muongozo..
Fanya unaloona ni sahihi.
 
Achana na hizi social stigmas, mwanamke unampima kwa vigezo vyako kama vinafit na si kwa hisia au mitazamo ya watu. Utaambiwa single mother Atapasha kiporo, mchaga muuaji, mhaya muhuni, msomi anadharau. Hakuna sehemu itakosekana kasoro. Na uhuni ni hulka binafsi ya mtu. Unaweza oa bikra, ila akawa mgawaji mzuri tu. Kwa hivi vigezo, ulivyosema, huyo ni mke. Acha kusikiliza miluzi, inampotezaga mbwa. Cha msingi mtie mimba, uweke signature!
 
Kama kuna maelewano mazuri kati yenu wewe muoe tu. Mmalizie Maisha yalio bakia
 
Back
Top Bottom