Nataka kumuoa huyu single mother

Nataka kumuoa huyu single mother

Yeyote utakaeoa mateso yapo mbele, so kama huyu walau ana vigezo vingine hasa akili ya maisha, mi nadhani jamaa aoe tu. Unaeza oa ambae sio singo maza lakini ni kicheche hatari na akili ya maisha hana.
Kwamabinti wengi wamiaka hii bora hata sigle maza
 
Best upo sehemu sahihi kabisa kwa maelezo yako huyo ndiye aina ya wanawake ambao wanaume wengi tunawahitaj naongea haya kwa sababu nina experience na single mother nilimuoa akiwa na mwanaye na mpaka sasa Mungu kashatujalia mtoto mwingine tunaish vyema sana, alinikuta na watoto akawapenda nikampenda na kumpendea mwanaye my brother oa acha kufat ushaur wa ovyo ovyo et mpo wawili nonsense.
 
hahahaa kwanza mimi nimefurahishwa tu tu na hilo jina lako sinyanyuki niueni
 
Kama mme wake kafa oa Ila kama bado yupo jiandae kisaikolojia
 
Back
Top Bottom