Ni video ya nani, iko wapi ?Kwa hapa nilipo Sinyanyuki Niueni

😂😂😂"Nasema lasima unyanyukye bwashee tuweke mtungi wa pombe hapo kwenye kiti eti.." 🤣🤣🤣
Binafsi nimesha date na masingo maza kama watatu wanne na sifa zao kuu ni:Sio Single mothers wote ni pasua kichwa fanya ibada tu
Nimeoa single mama. Niko nae kwenye ndoa miaka 15 sasa. Nakiri wana mapungufu linapofika suala la kumwadhibu mwanae.Binafsi nimesha date na masingo maza kama watatu wanne na sifa zao kuu ni:
1. Wakishakupenda hua hawasumbui kabisa kutoa tunda, tofauti na hivi vibinti vya chuo mpaka ubembeleeeeeze..! Kwa singo maza ni wewe mwenyewe uchoke.
2. Wanajielewa, wanazijua shida na mara nyingi hua ni watafutaji
3. Hata akikuomba hela, anaenda kufanyia kitu cha maana sio kununua iphone au wigi. Ukimuambia leo sina anakuelewa
4. Wana heshima
😂😂😂Mara ooh nampeleka mtoto kwa baba ake!Sio kuliwazwa tu ila jamaa anasubiriwa kwenye angle ambayo akishakamilisha zoezi zima la kuoa ndio ataelewa maana "oo..namfanyia visa hafanyi chochote"
Sielewi mkuu.. Nilimshirikisha maza naona kama hana imani vile

maza lazima akuzuie tuNje ya mada: Hilo jina lako limenifanya nicheke kwa nguvu sana nikakumbuka ile video😂😂😂😂
nikahamaki kumuuliza akadai wa kwake nikakataa 

Na yule binti yake mkubwa unamjua? anyway she is very beautiful muoe tuNimeshamfanyia visa vya kila aina ili anichoke lkn naona ameniganda tu. Haniombi ela na hana usumbufu wa kijinga, ananipa uhuru ninaoutaka.
Anajiheshimu na ananiheshimu na kwenye uwanja wa futi sita yuko vizuri ile mbaya, anajua kuifinyia kwa ndani
Nina miaka miwili naishi nae lkn sijawahi kwenda hata kujitambulisha kwao. Tulianza maisha ya kulala ktk kigetto tu chenye kagodoro tunatandika chini mpaka sasa tumepanga upande mzima wa mjengo na kuna kiwanja amenihimiza nikinunue tuanze ujenzi..
Kasoro pekee ni single mother, mtoto wake yupo analelewa na bibi wa upande wa baba. Msela aliyemzalisha hana mishe ya kueleweka anapiga debe stendi, ni dizaini ya wale wana wanaovaa majinzi ya kuchanika chanika na kunyoa viduku. Anadai walishaachana..
Wazoefu mliooa single mothers njooni mnipe muongozo..
uspende sana mteremko dingiiiNilipata mmoja hapa juzi Kati alikuwa ananipenda balaaa
Nilimfungia safari huko mkoani anakoishi nikaaa siku tatu kwake napikiwa nafulia na mzigo napewa aisee nilijiona mfalme
Ila wakati wote napngea nae alinificha kuwa Hana mtoto
Nikasema.mke so huyu Sasa
Siku niliyoenda kwake nikakuta picha ya mtoto kaitundika getonikahamaki kumuuliza akadai wa kwake nikakataa
Akatoa Albamu akanionesha alivyokuwa mjamzito
Nikanywea Sana na stimu zikanikata nikatamani hizo siku ziishe nisepe nilipanga nifike nae mbali Ila kuia single mazaz aisee no stress sizitaki aisee![]()
Punguza hasira, utaolewa tu japo kwa mbinde.Kwani wangapi wameoa hao single mama na maisha yameendelea kuwa safi?
Huu ujinga wanaume (wewe mtoa mada) mtauacha lini?
Tuseme Mara ngapi kuhusu single mother??Nimeshamfanyia visa vya kila aina ili anichoke lkn naona ameniganda tu. Haniombi ela na hana usumbufu wa kijinga, ananipa uhuru ninaoutaka.