ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 18,694
- 24,741
Mada umeshaifunga hapaSielewi mkuu.. Nilimshirikisha maza naona kama hana imani vile
Mada umeshaifunga hapaSielewi mkuu.. Nilimshirikisha maza naona kama hana imani vile
Niaje mzee baba?We kama umemuelewa oa.
Wamekutana mtandaoni hao....Mkuu shemela hajambo lakini [emoji23],,, mambo ya Carbon Copy adimu sana sikuhizi vipi mshua, au ndio kunguru hafugiki!?
Kwa Mimi jibu langu bado ni no
Usioe single mother
Mateso yapo mbele
Kilio kinakujia siku sio nyingi, jinsi anavyokupa uhuru ni ili na yeye awe huru awafinyie na wengine kwa ndani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ncha kali[emoji119]
Hapo ndipo patamu zaidi papuchi inafinyia kwa ndani halafu unapewa free of charge.Usisahau na papuchi jamaa anapewa kila akitaka!
Nimeshamfanyia visa vya kila aina ili anichoke lkn naona ameniganda tu. Haniombi ela na hana usumbufu wa kijinga, ananipa uhuru ninaoutaka.
Anajiheshimu na ananiheshimu na kwenye uwanja wa futi sita yuko vizuri ile mbaya, anajua kuifinyia kwa ndani![]()
Nina miaka miwili naishi nae lkn sijawahi kwenda hata kujitambulisha kwao. Tulianza maisha ya kulala ktk kigetto tu chenye kagodoro tunatandika chini mpaka sasa tumepanga upande mzima wa mjengo na kuna kiwanja amenihimiza nikinunue tuanze ujenzi..
Kasoro pekee ni single mother, mtoto wake yupo analelewa na bibi wa upande wa baba. Msela aliyemzalisha hana mishe ya kueleweka anapiga debe stendi, ni dizaini ya wale wana wanaovaa majinzi ya kuchanika chanika na kunyoa viduku. Anadai walishaachana..
Wazoefu mliooa single mothers njooni mnipe muongozo..ne
Kamuulize Baba Diamond yanayompata sasa iviiNimeshamfanyia visa vya kila aina ili anichoke lkn naona ameniganda tu. Haniombi ela na hana usumbufu wa kijinga, ananipa uhuru ninaoutaka.
Anajiheshimu na ananiheshimu na kwenye uwanja wa futi sita yuko vizuri ile mbaya, anajua kuifinyia kwa ndani [emoji23]
Nina miaka miwili naishi nae lkn sijawahi kwenda hata kujitambulisha kwao. Tulianza maisha ya kulala ktk kigetto tu chenye kagodoro tunatandika chini mpaka sasa tumepanga upande mzima wa mjengo na kuna kiwanja amenihimiza nikinunue tuanze ujenzi..
Kasoro pekee ni single mother, mtoto wake yupo analelewa na bibi wa upande wa baba. Msela aliyemzalisha hana mishe ya kueleweka anapiga debe stendi, ni dizaini ya wale wana wanaovaa majinzi ya kuchanika chanika na kunyoa viduku. Anadai walishaachana..
Wazoefu mliooa single mothers njooni mnipe muongozo..
Nilishawahi kusema humu, na narudia:
Baadhi ya single mothers ni wasichana waliofanya makosa wangali wadogo, wakajikuta wamebeba mimba. Wengi wao utakuta pengine ilikua mara yao ya kwanza ku sex, pengine walidanganywa au hata kushikwa kwa nguvu wakajikuta wameshaachia mzigo na kitu kikanasa.
Kutokana na ugeni wao, wengi huogopa kutoa hizo mimba na kuvumilia kebehi, vipigo, vitisho nk kutoka kwa wazazi.
Kuna mabinti ambao leo hii sio ma singo maza kwasababu tu kila mimba inaponasa wanaichoropoa fasta, au wameshameza P2 ndoo mbili!
Hapo ndipo patamu zaidi papuchi inafinyia kwa ndani halafu unapewa free of charge.
Papuchi ya demu wako unalipia kodi nini sheikh? Maana mie niko kwenye mkataba wa kudumu wa kula papuchi yani lifetime subscription!Papuchi haiuzwi wala haipewi bure, hiyo "free of charge" labda ni kwamba haihitaji charger!!
Papuchi ya demu wako unalipia kodi nini sheikh? Maana mie niko kwenye mkataba wa kudumu wa kula papuchi yani lifetime subscription!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu shemela hajambo lakini [emoji23],,, mambo ya Carbon Copy adimu sana sikuhizi vipi mshua, au ndio kunguru hafugiki!?
Uwezekano wa single mother kuliwa na mwanaume aliyezaa nae ni mkubwa zaidi kuliko binti ambaye hajazaa kuliwa na wanaume alioachana naoUkiona mtu ana ona kasoro KWA single mother jua tatzo sio single mother tatzo ni CHUKI humpendi mtoto uliyemkuta.
Kumchukia single mother ni kumchukia mtoto uliyemkuta nae ni sawa na mama wa kambo kumchukia mtoto wa mwanaume aliyeolewa akamkuta
Acha roho mbaya wewe baba wa kambo(mama wa kambo) SIONI TOFAUTI KATI YA SINGLE MOTHER NA BINTI ULIYEMUOA LAKINI KATOA MIMBA SITA YAAN BORA SINGLE MOTHER