Nataka kumuoa huyu single mother

Nataka kumuoa huyu single mother

Nimeshamfanyia visa vya kila aina ili anichoke lkn naona ameniganda tu. Haniombi ela na hana usumbufu wa kijinga, ananipa uhuru ninaoutaka.

Anajiheshimu na ananiheshimu na kwenye uwanja wa futi sita yuko vizuri ile mbaya, anajua kuifinyia kwa ndani

Nina miaka miwili naishi nae lkn sijawahi kwenda hata kujitambulisha kwao. Tulianza maisha ya kulala ktk kigetto tu chenye kagodoro tunatandika chini mpaka sasa tumepanga upande mzima wa mjengo na kuna kiwanja amenihimiza nikinunue tuanze ujenzi..

Kasoro pekee ni single mother, mtoto wake yupo analelewa na bibi wa upande wa baba. Msela aliyemzalisha hana mishe ya kueleweka anapiga debe stendi, ni dizaini ya wale wana wanaovaa majinzi ya kuchanika chanika na kunyoa viduku. Anadai walishaachana..

Wazoefu mliooa single mothers njooni mnipe muongozo..
Man, at your own risk!
Wee beba zigo hilo, yatakayukukuta huko ni ya kwako usituhusishe
 
Uwezekano wa single mother kuliwa na mwanaume aliyezaa nae ni mkubwa zaidi kuliko binti ambaye hajazaa kuliwa na wanaume alioachana nao
Hatuchukii watoto Bali tunachukia mawasiliano ya wazazi yatakayopelekea kurudisha penzi LA zamani kwa kisingizio cha mtoto
wewe umeelewa hivo. Nakupa mfano, kuna jamaa alioa kitu new, a.k.a.bikra. Akajisifu na kumkweza mkewe. Wengine tukaambiwa tumeoa mitumba. Lakini mimi namgonga huyo mama kikamilifu.

Mytake:hao bikira mnaowaamini ama walimegwa 0710 ili waonekane waaminifu au sahizi wanamegwa bila wewe kujua.

Kila mmoja na imani yake. Wa bikra bakini nazo na sisi wa single mum tunaendelea nao.
 
Unalazimisha faraja!
 
Nimeoa single mama. Niko nae kwenye ndoa miaka 15 sasa. Nakiri wana mapungufu linapofika suala la kumwadhibu mwanae.

Lakini analea watoto wangu kwa upendo hadi ndugu na jamaa zangu wamekubali. Kama amewahi kunisaliti basi ni kwa siri kupitiliza.

Kwa ujumla tunapendana, sijawahi kujuta juu yake.

Si kila single mum ni pasua kichwa.
SAFI
 
Nimeshamfanyia visa vya kila aina ili anichoke lkn naona ameniganda tu. Haniombi ela na hana usumbufu wa kijinga, ananipa uhuru ninaoutaka.

Anajiheshimu na ananiheshimu na kwenye uwanja wa futi sita yuko vizuri ile mbaya, anajua kuifinyia kwa ndani

Nina miaka miwili naishi nae lkn sijawahi kwenda hata kujitambulisha kwao. Tulianza maisha ya kulala ktk kigetto tu chenye kagodoro tunatandika chini mpaka sasa tumepanga upande mzima wa mjengo na kuna kiwanja amenihimiza nikinunue tuanze ujenzi..

Kasoro pekee ni single mother, mtoto wake yupo analelewa na bibi wa upande wa baba. Msela aliyemzalisha hana mishe ya kueleweka anapiga debe stendi, ni dizaini ya wale wana wanaovaa majinzi ya kuchanika chanika na kunyoa viduku. Anadai walishaachana..

Wazoefu mliooa single mothers njooni mnipe muongozo..
Kwani huyo single mother ana jishugulisha na Kaz gan yaku muingizia kipato?
 
Fuata moyo wako.
Miaka miwili inatosha kumchunguza mtu na kumjua.
Ulikaa nae ukijua ni single mother haikua shida,kwa nini usioe? Ama jipe muda tena.
 
Back
Top Bottom