Nataka kumuoa huyu single mother

Nataka kumuoa huyu single mother

Mpaka umekuja kuuliza, maana yake una doubts nae, huna uhakika.
Sema umempotezea muda, ila jua ukioa chochote kitakachotokea huko alikozalishwa, kama misiba hivi ataenda for the sake of kid, atalala wewe utabaki home ukimsubiri.
And then hiyo miaka miwili amjazaa tu?
Hatujazaa mkuu, alikua anatumia vidonge akaacha, nadhani ni mambo ya hormonal imbalance
 
Hatujazaa mkuu, alikua anatumia vidonge akaacha, nadhani ni mambo ya hormonal imbalance
Kuna jamaa yangu kaoa single mama, sasa ikitokea misiba kule ukweni kwa zamani, inabidi ampeleke mtoto, atalala huko atakutana na mzazi mwenzie.
 
Maisha ya mapenzi ni kichaka kikubwa mno
Zamani nilikua najua ukiwa na pesa utapata furaha kwenye mapenzi lakini kumbe sivyo kabisa!
Mapenzi ni kichaka, mapenzi ni giza, mapenzi ni zaidi ya bahari, utaingia ukiwa na mtazamo mzuri ila ukabadilishwa
Mapenzi ni maumivu makali
Mapenzi ni furaha kubwa
Wapo matajiri wanaocheka na kulia,wapo masikini wanaocheka na kulia
Ukimpenda atakupuuza, unaempuuza anakupenda
Unaweza kupenda ukaona kasoro
Kuna kasoro zinavunja moyo zinaumiza na zinatesa mno
Mapenzi yamekua ubinafsi watu hawafikilii wengine wanajiangalia wao pekeyao
Unawaumiz wengine,wanakuumiza wengine
Mapenzi mapenzi mapenzi
 
Vipi mkuu umeamuaje sawa sawa na ushauri ulio tolewa hapa?
 
Nimeshamfanyia visa vya kila aina ili anichoke lkn naona ameniganda tu. Haniombi ela na hana usumbufu wa kijinga, ananipa uhuru ninaoutaka.

Anajiheshimu na ananiheshimu na kwenye uwanja wa futi sita yuko vizuri ile mbaya, anajua kuifinyia kwa ndani

Nina miaka miwili naishi nae lkn sijawahi kwenda hata kujitambulisha kwao. Tulianza maisha ya kulala ktk kigetto tu chenye kagodoro tunatandika chini mpaka sasa tumepanga upande mzima wa mjengo na kuna kiwanja amenihimiza nikinunue tuanze ujenzi..

Kasoro pekee ni single mother, mtoto wake yupo analelewa na bibi wa upande wa baba. Msela aliyemzalisha hana mishe ya kueleweka anapiga debe stendi, ni dizaini ya wale wana wanaovaa majinzi ya kuchanika chanika na kunyoa viduku. Anadai walishaachana..

Wazoefu mliooa single mothers njooni mnipe muongozo..
Muowe ili unyanyuke
 
Kuzaa tu na aliyezalishwa siwezi, sembuse kuoa
 
ni bora umwoe mwanamke 28 yrs mwenye mtoto kuliko 28 yrs single sikuhizi.. hivi kila mwanamke mwenye mtoto makosa ni lazima yalikuwa kwake mpaka kuachana na mwanaume? ni rahisi kwa mwanaume kucheat kuliko mwanamke.. tabia hii imetufanya sisi kuwawazia wanawake kua ni kama sisi!
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Kuna mambo huwa najiuliza ivi dunia yaleo kama mwanamke umelizika nae anamalengo mazuri uogope kuoa eti jamaa atamchukua kwani hao wengine mnaosema ndosahihi kuowa mbona wanafanya mambo yaovyo pengine kuliko hao wenye watoto mazingira yawatu kupata mimba nimengi wasihukumiwe sana yani mwanamke akiwa namtoto haram ila mwanaume halali wangapi leo mnapasha viporo ivi mwanamke anakwepaje hasa bint mdogo nambinu zenu zakikomando wadada muombeni mungu sana dude linaitwa mwanaume habari nyingine
 
Nilipata mmoja hapa juzi Kati alikuwa ananipenda balaaa

Nilimfungia safari huko mkoani anakoishi nikaaa siku tatu kwake napikiwa nafulia na mzigo napewa aisee nilijiona mfalme

Ila wakati wote napngea nae alinificha kuwa Hana mtoto
Nikasema.mke so huyu Sasa

Siku niliyoenda kwake nikakuta picha ya mtoto kaitundika geto nikahamaki kumuuliza akadai wa kwake nikakataa

Akatoa Albamu akanionesha alivyokuwa mjamzito

Nikanywea Sana na stimu zikanikata nikatamani hizo siku ziishe nisepe nilipanga nifike nae mbali Ila kuia single mazaz aisee no stress sizitaki aisee
Sawa mkuu tafuta kabinti kadogo ila vinachangamoto nyingi wengi hawajui maisha yanaendaje mwambie tu kilichokukwaza mkuu usiondoke kimyakimya pia nivema ukawa nauhakika wahicho unahofia isije kuwa watu wanasema
 
Ukiona mtu ana ona kasoro KWA single mother jua tatzo sio single mother tatzo ni CHUKI humpendi mtoto uliyemkuta.

Kumchukia single mother ni kumchukia mtoto uliyemkuta nae ni sawa na mama wa kambo kumchukia mtoto wa mwanaume aliyeolewa akamkuta

Acha roho mbaya wewe baba wa kambo(mama wa kambo) SIONI TOFAUTI KATI YA SINGLE MOTHER NA BINTI ULIYEMUOA LAKINI KATOA MIMBA SITA YAAN BORA SINGLE MOTHER
Baadhi yao wamelelewa na mama waaina hiyo
 
Back
Top Bottom