Huyo mwanaume amezaa nae ndio level yake. Kwasasa ni shida ndizo zinamfanya kujituma kupata sponsor but mambo yakikaa sawa akili yake ikarelax itataka kupata mwanaume wa level yake ambaye ndio huyo amepata nae mtoto.
Hili swala nimelifanyia utafiti na nimethibitisha beyond doubt kuwa nipo sahihi.
Mwanamke huwa anadate mwanaume kwa reflection ya muonekano wa baba yake kwa zaidi ya 50%.
Unaweza kutana na msichana pisi kali hapa mjini, kumbe katoka bushi baba yake ni mkulima na mfugaji huko bush.
Unaweka ndani, unamtengeneza anakuwa pisi kali. Unashangaa anakuja kugongwa na shamba boy nyumba ya jirani. Usishangae.... Huyo ndio level yake... Wewe ulitazama muonekano na sio character yake halisi na anapotoka.
Sent using
Jamii Forums mobile app