Nataka kumuoa huyu single mother

Nataka kumuoa huyu single mother

Ss kama umeishi nae muda wote huo nani huku anamfahamu kuliko wewe? Halafu unataka kumuoa kwa sababu ya ulizotaja hapo juu? Mwisho kiduku ni mzazi mwenzake hata kama anavaa jinsi zilizochanika.
 
Nimeshamfanyia visa vya kila aina ili anichoke lkn naona ameniganda tu. Haniombi ela na hana usumbufu wa kijinga, ananipa uhuru ninaoutaka.

Anajiheshimu na ananiheshimu na kwenye uwanja wa futi sita yuko vizuri ile mbaya, anajua kuifinyia kwa ndani

Nina miaka miwili naishi nae lkn sijawahi kwenda hata kujitambulisha kwao. Tulianza maisha ya kulala ktk kigetto tu chenye kagodoro tunatandika chini mpaka sasa tumepanga upande mzima wa mjengo na kuna kiwanja amenihimiza nikinunue tuanze ujenzi..

Kasoro pekee ni single mother, mtoto wake yupo analelewa na bibi wa upande wa baba. Msela aliyemzalisha hana mishe ya kueleweka anapiga debe stendi, ni dizaini ya wale wana wanaovaa majinzi ya kuchanika chanika na kunyoa viduku. Anadai walishaachana..

Wazoefu mliooa single mothers njooni mnipe muongozo..
We muoe tu hawez kuludiana na mzaz mwenzake maana mzaz mwenzake kasha toka kwe njia
 
Ukiona mtu ana ona kasoro KWA single mother jua tatzo sio single mother tatzo ni CHUKI humpendi mtoto uliyemkuta.

Kumchukia single mother ni kumchukia mtoto uliyemkuta nae ni sawa na mama wa kambo kumchukia mtoto wa mwanaume aliyeolewa akamkuta

Acha roho mbaya wewe baba wa kambo(mama wa kambo) SIONI TOFAUTI KATI YA SINGLE MOTHER NA BINTI ULIYEMUOA LAKINI KATOA MIMBA SITA YAAN BORA SINGLE MOTHER
hata single mother inawezekana alitoa mimba
 
Nilipata mmoja hapa juzi Kati alikuwa ananipenda balaaa

Nilimfungia safari huko mkoani anakoishi nikaaa siku tatu kwake napikiwa nafulia na mzigo napewa aisee nilijiona mfalme

Ila wakati wote napngea nae alinificha kuwa Hana mtoto
Nikasema.mke so huyu Sasa

Siku niliyoenda kwake nikakuta picha ya mtoto kaitundika geto nikahamaki kumuuliza akadai wa kwake nikakataa

Akatoa Albamu akanionesha alivyokuwa mjamzito

Nikanywea Sana na stimu zikanikata nikatamani hizo siku ziishe nisepe nilipanga nifike nae mbali Ila kuia single mazaz aisee no stress sizitaki aisee
usikimbie mzee
 
Nilishawahi kusema humu, na narudia:

Baadhi ya single mothers ni wasichana waliofanya makosa wangali wadogo, wakajikuta wamebeba mimba. Wengi wao utakuta pengine ilikua mara yao ya kwanza ku sex, pengine walidanganywa au hata kushikwa kwa nguvu wakajikuta wameshaachia mzigo na kitu kikanasa.

Kutokana na ugeni wao, wengi huogopa kutoa hizo mimba na kuvumilia kebehi, vipigo, vitisho nk kutoka kwa wazazi.

Kuna mabinti ambao leo hii sio ma singo maza kwasababu tu kila mimba inaponasa wanaichoropoa fasta, au wameshameza P2 ndoo mbili!
Naunga mkono hoja,,, tunao mama wa marehemu wengi mno 😁😁😁
 
Binafsi nimesha date na masingo maza kama watatu wanne na sifa zao kuu ni:
1. Wakishakupenda hua hawasumbui kabisa kutoa tunda, tofauti na hivi vibinti vya chuo mpaka ubembeleeeeeze..! Kwa singo maza ni wewe mwenyewe uchoke.
2. Wanajielewa, wanazijua shida na mara nyingi hua ni watafutaji
3. Hata akikuomba hela, anaenda kufanyia kitu cha maana sio kununua iphone au wigi. Ukimuambia leo sina anakuelewa
4. Wana heshima
Hujakosea kabisa, ila miongoni mwao wapo wapuuzi wasiojielewa.
 
Na wao watu jamani mbona mnawanyanyapaa mbona wanaume walio na watoto kibaaao mtaani tena kwa wanawake tofauti tofauti wanajishaua tu hawakejeliwi, oa mdau hayo mengine matokeo tu mradi papuchi unapiga na anakufinyia kwa ndani kama ulivyosema shida gani piga show kaanaye anzisha maisha
 
Back
Top Bottom