Nataka kumuoa huyu single mother

Nataka kumuoa huyu single mother

Nimeshamfanyia visa vya kila aina ili anichoke lkn naona ameniganda tu. Haniombi ela na hana usumbufu wa kijinga, ananipa uhuru ninaoutaka.

Anajiheshimu na ananiheshimu na kwenye uwanja wa futi sita yuko vizuri ile mbaya, anajua kuifinyia kwa ndani

Nina miaka miwili naishi nae lkn sijawahi kwenda hata kujitambulisha kwao. Tulianza maisha ya kulala ktk kigetto tu chenye kagodoro tunatandika chini mpaka sasa tumepanga upande mzima wa mjengo na kuna kiwanja amenihimiza nikinunue tuanze ujenzi..

Kasoro pekee ni single mother, mtoto wake yupo analelewa na bibi wa upande wa baba. Msela aliyemzalisha hana mishe ya kueleweka anapiga debe stendi, ni dizaini ya wale wana wanaovaa majinzi ya kuchanika chanika na kunyoa viduku. Anadai walishaachana..

Wazoefu mliooa single mothers njooni mnipe muongozo..
Mke wa mwamba, sio mbaya kumshikia
 
Kwani ambao hawajazaa hawapashi viporo na ma ex wao?
X vs single mother OK ajazaa sawa ata akipasha ni tofaut na hii unajua baba mtoto yupo na muda ukifka mvurugano utaskia nampeleka mtoto kwa bab ake akamuone ndio shida vuta picha kitaongeleka nini uko, kitafanyik nin ujui then ona maumivu yake

X ajazaa ana ma X uji skia naenda muona x wa zamani zaidi kimya kimya watakutana uko basi lakini hii ya kumpeleka mtoto kwa baba na unajua ahaaaa mtu anavurugwa uko uko sometimes baba mtoto anapga sim free muda wowote anaotaka inaumiza unafanyeje na sababu ana mtoto wake
Mkigombana safar ya kumpeleka mtoto kwa baba inaanza ili uhumie anajua utahis kitu flani kinaenda fanyika.
 
Hizi ni fikra za hovyo. Muhimu hapa ni kuwekeana misingi na mipaka tu. Hakunaga formula linapokuja suala la mapenzi.
 
Ila wanaume naona kama mnaenjoy sex sana kuliko sisi au nasema uongo wadau? Hii ni nje ya mada
 
Mkuu angalia kama kuwa nae unapata furaha endelea nae OA kabisa..

Kwann ufanye vituko kwani kumchana ana kwa ana unafeli wapi.!?????

Maisha sio shida tu, utashangaza kuona hupati raha.
 
huyo mselaakibutuaa kwenye kubeti huna chako tena
 
Ila wanaume naona kama mnaenjoy sex sana kuliko sisi au nasema uongo wadau? Hii ni nje ya mada
Hakika wanaume tunapenda sex, inaleta utulivu wa nafsi.

Ila lazima uweze kuji-control kikamilifu.
 
Back
Top Bottom