Jack da great
Member
- May 10, 2013
- 36
- 4
Mimi nipo Chuo kikuu mwaka wa tatu kuna msichana nilikuwa nataka kupiga na kusepa.
Ila nkakuta ana mambo adimu nikawa nimenasa kwake nikashindwa kutoka Ofcause ni mzuri na anatabia nzuri ananipenda ila kaishia Darasa la saba nataka kumwacha ila kuna roho haitaki.
Pia yeye alitaka kujiua nlipo mwambia kuhusu hilo na yeye kaniganda so nifanyeje maana roho ya huruma inanijia ninapotaka kumwacha.