Nataka kulelewa

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
13,786
Reaction score
2,104
Jamani nimechoka kulea na mm nataka kulelewa. Karibuni
 
Nataka nilelewe, kulea nimechoka
 
haya tumekusikia.....unataka ianze lini.....?
 
Weka jinsia na wasifu wako tukulee
 
Jamani nimechoka kulea na mm nataka kulelewa. Karibuni

Ushampata wa kukulea, mwanaume mwenzio nimejitolea. We onesha utayari tu, hata Prado tapata...
 
halaaa wataka lelewa weye mmmh basi mi nazan uanze kwa hizi centers, wafanya kazi vizuri sana ila ka wataka mengine mphamvu kajitole hadi pradoo changamka yakhee
 
dah kweli bana hata mi natafuta wa kunilea, maana hali inakuwa ngumu balaa
 
Hahahahaaa......
Uliona wapi dume la mbegu likalelewa??

Aaapo chacha! Unasoma arafu unariraksi !
Hujaonaga toto la kiume darasa la 7 bado linanyonya dole gumba ?
Toto raivo rikirerewa kuna ubaya gani ? Zingatia Jf ma'mukaka wako kibwena .
 
Hawa jamaa wengi wanatokea kisiwani Zimbabwe, na walianza kuja one nineteen seventy five kama skosei .
 
Wabongo wakarim sana, watakulea tu lakini kazi za nyumbani kama kupara samaki na kupara miwa shurti utazifanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…