Msimu wa vyo ndio unaanza kuna wanafunzi wapya wa vyo wanaanza, wanatoka kwenye mfumo wa elimu wa kulelewa wanaingia kwenye mfumo wa kujilea, unawashauri nini wakifika chuoni?
Mambo gani wazingatie? Nini wafanye na nini wasifanye wakiwa vyoni? wape ushauri.
Mambo gani wazingatie? Nini wafanye na nini wasifanye wakiwa vyoni? wape ushauri.