Nataka kulelewa

Wabongo wakarim sana, watakulea tu lakini kazi za nyumbani kama kupara samaki na kupara miwa shurti utazifanya.

Akitaka chakula, inshallah atapakuliwa.
Shida zake za nyuma, yakhe atatatuliwa...
 
halaaa wataka lelewa weye mmmh basi mi nazan uanze kwa hizi centers, wafanya kazi vizuri sana ila ka wataka mengine mphamvu kajitole hadi pradoo changamka yakhee

Tena mwambie awahi, maana nafasi ni chache.
 
Back
Top Bottom