Nataka kulelewa

TIQO

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
13,787
2,078
Jamani nimechoka kulea na mm nataka kulelewa. Karibuni
 
images
 
halaaa wataka lelewa weye mmmh basi mi nazan uanze kwa hizi centers, wafanya kazi vizuri sana ila ka wataka mengine mphamvu kajitole hadi pradoo changamka yakhee
 
Hahahahaaa......
Uliona wapi dume la mbegu likalelewa??

Aaapo chacha! Unasoma arafu unariraksi !
Hujaonaga toto la kiume darasa la 7 bado linanyonya dole gumba ?
Toto raivo rikirerewa kuna ubaya gani ? Zingatia Jf ma'mukaka wako kibwena .
 
Hawa jamaa wengi wanatokea kisiwani Zimbabwe, na walianza kuja one nineteen seventy five kama skosei .
 
Wabongo wakarim sana, watakulea tu lakini kazi za nyumbani kama kupara samaki na kupara miwa shurti utazifanya.
 
Back
Top Bottom