Nataka kulea mwanaume, awe wangu pekee yangu

uzuri wako marytina unapenda kutii kiu yako,............................
na kwa kuitii kiu yangu life makes more sense
ya nini asubuhi nakurupuka mbio mbio kuoga kazini mikwara ya bosi if siwezi kata kiu yangu kwa kuwa nitakavyoo?
hii kiu ndio inayonifanya niende kazini daily

mimi nataka nimiliki mwenyewe na sio kushare na wengine
hela si nyingi ila zinaweza kuninunulia furaha
if not kwa kulea sasa umuhimu wa kwenda kazini upo wapi???

hivi marytina, shoga yako michelle anasemaje huko pande ya Arusha.................

mpe salamu zake bana......................

nimekuuliza hapo mwanzo kuwa wanaume wa uswahilini utawaweza weye?
ligwaride lao utalimudu kweli?
tatizo ni kwamba wako addicted sana na ''jicho''
mimi ndiye buyer so najua ninunue yupi?
akinletea ujinga anafungasha usuku huohuo

Ha ha haaa umenichekesha sana Nyani Ngabu! Anyway mie nipo mkuu wangu....Lakini hizi za kuishi pamoja
si dizain zangu....mie zangu ni kuchuna cash na kila mtu akae kivyake na si kugandana
ulaaniwe!!!!!!!!!!!!!!!

@Arusha,baba mngoni, mama mchagga.

wa kwanza alikuwa mhaya akaniniletea ubisho/utoto tukamwagana

Nikahamisha mawazo from mabrazameni nikatua kwa Mmasai hoping that hatanisumbua and with time nikampenda sana na bado nampenda.Ila kuna mdada wa kimasai karudi masomoni America naona na niseme wazi keshanivurugia penzi langu.

Nahisi kuachika na nawaza hivii: IKIWA NTAACHIKA NTATAFUTA MAN ASIYEMSOMI,NOT HANDSOME, MWENYE ROBO YA KIPATO CHANGU,ALIYEVUSHA UMRI WA KUOA, ETHNICAL MAN

nina net salary ya 630,000 naammini naweza kumnunua mwanaume aliyejichokea maisha wa uswahilini ARUSHA awe wangu peke yangu as nimechoka kuteseka

Nataka mwanaume legelege mtoto wa mama nitakayemdhibiti

Pole sana dada.

But Macharlie noma. Achana na hayo mawazo ya kubeba mme. Atakuchosha baada ya muda.
Unaweza angalia vibabu, hivyo huwa vimetulia.
Kwa ushauri kuhusu vibabu nenda ile blog ya mipasho.

Unamwitali YESU KRISTO maana anaweza kukupa mume aliyetulia'
Kwa staili hiyo ona sasa wanaume wangapi wamepita na bado unataka kujishusha hadhi mtu hafugwi kwamba awe wako tu' MUNGU WA MBINGUNI ndo anaweza kuwaunganisha mkawa kitu kimoja.
Acha tamaa ya ngono, jihimili mtegemee MUNGU, ia uo mshahara wako ni mdogo sana, jipange kimaisha saidia familia yako na kikubwa kumbuka kumtolea MUNGU WA MBINGUNI fungu la kumi.
i will consider
ila hata huyu Mmassai tulijuana kwenye kwanya ya Lutheran hapa ARUSHA

I wish mambo yangekuwa na mahesabu rahisi kama tunavyodhani hapa. Kupenda bwana ni uamuzi na unaweza badilika kama upepo. Inabidi uamue tu kuwa mtu wa kujiachia

utanilipa bei gani kwa siku?koz unaonekana hujui mapenzi na unatumia pesa zako kama fimbo ya kumpigia mwanaume.walijichokea mbona hata mtaani kwenu wapo!!??.mi nataka niwe nakusugua kila unapohitaji.lakini kwa mkataba usiozidi miezi mitatu.nadhani utakua umempata anayekufaa kwa kipindi hicho.kumbuka mimi sijatulia kabisaa na hautakiwi kunionea wivu.huwa sikai na demu zaidi ya miezi3.nipm kama interested.mia
NI KWELI WA MAWAZO YAKO WAPO TELE
ila mimi sitaki wa kiivyo kama ulivyoeleza

@Arusha,baba mngoni, mama mchagga.

wa kwanza alikuwa mhaya akaniniletea ubisho/utoto tukamwagana

Nikahamisha mawazo from mabrazameni nikatua kwa Mmasai hoping that hatanisumbua and with time nikampenda sana na bado nampenda.Ila kuna mdada wa kimasai karudi masomoni America naona na niseme wazi keshanivurugia penzi langu.

Nahisi kuachika na nawaza hivii: IKIWA NTAACHIKA NTATAFUTA MAN ASIYEMSOMI,NOT HANDSOME, MWENYE ROBO YA KIPATO CHANGU,ALIYEVUSHA UMRI WA KUOA, ETHNICAL MAN

nina net salary ya 630,000 naammini naweza kumnunua mwanaume aliyejichokea maisha wa uswahilini ARUSHA awe wangu peke yangu as nimechoka kuteseka
Nataka mwanaume legelege mtoto wa mama nitakayemdhibiti

Be careful dear... yaani kavuka age ya Kuoa.... alafu umwite ethical man?? Kwa vigezo gani??

tamaa binadamu kaumbwa nayo,so usijipe mia kwa mia,anaweza kuja kutamani au hata wewe mwenyewe unaweza kuja badilika siku za usoni na kutaka mwingine,
"atakuwa wa kwako akiwa ndani kwako,ila akitoka nje tu,wengine watamwinda"

@Arusha,baba mngoni, mama mchagga.

wa kwanza alikuwa mhaya akaniniletea ubisho/utoto tukamwagana

Nikahamisha mawazo from mabrazameni nikatua kwa Mmasai hoping that hatanisumbua and with time nikampenda sana na bado nampenda.Ila kuna mdada wa kimasai karudi masomoni America naona na niseme wazi keshanivurugia penzi langu.

Nahisi kuachika na nawaza hivii: IKIWA NTAACHIKA NTATAFUTA MAN ASIYEMSOMI,NOT HANDSOME, MWENYE ROBO YA KIPATO CHANGU,ALIYEVUSHA UMRI WA KUOA, ETHNICAL MAN

nina net salary ya 630,000 naammini naweza kumnunua mwanaume aliyejichokea maisha wa uswahilini ARUSHA awe wangu peke yangu as nimechoka kuteseka
Nataka mwanaume legelege mtoto wa mama nitakayemdhibiti

Habari ya siku nyingi Marytina???!!.........Pole mwaya, usikate tamaa, tulia mwombe Mungu atakupa kijana mzuri mtulivu ambaye utaishi naye kwa ndoa! All the best!

hivi marytina, shoga yako michelle anasemaje huko pande ya Arusha.................

mpe salamu zake bana......................
umenikumbusha Michelle
nilimpenda sana na naturally nilimwogopa
yaani sikuwa naweza posts mambo flani flani kwa kuogopa karipio la michelle
i lv her so much!!!!nimemiss sana

23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom