@Arusha,baba mngoni, mama mchagga.

wa kwanza alikuwa mhaya akaniniletea ubisho/utoto tukamwagana

Nikahamisha mawazo from mabrazameni nikatua kwa Mmasai hoping that hatanisumbua and with time nikampenda sana na bado nampenda.Ila kuna mdada wa kimasai karudi masomoni America naona na niseme wazi keshanivurugia penzi langu.

Nahisi kuachika na nawaza hivii: IKIWA NTAACHIKA NTATAFUTA MAN ASIYEMSOMI,NOT HANDSOME, MWENYE ROBO YA KIPATO CHANGU,ALIYEVUSHA UMRI WA KUOA, ETHNICAL MAN

nina net salary ya 630,000 naammini naweza kumnunua mwanaume aliyejichokea maisha wa uswahilini ARUSHA awe wangu peke yangu as nimechoka kuteseka