Nataka kulamba kitu kitamu

Nataka kulamba kitu kitamu

Nasikia sumu ni tamu tamu, embu jaribu kuilamba uchungu utaisha.R.I.P
POPOBAWA.

Mkuu hiyo ndio gear yako? Hapa umechemka, ngoja nikukutanishe na gongagonga
 
Mkuu hiyo ndio gear yako? Hapa umechemka, ngoja nikukutanishe na gongagonga

Nataka nimmiliki SL sema ww ndio unatia kauzibe!! ungejaribu ungekuta sahv niko huru na SL.
POPOBAWA.
 
Nataka nimmiliki SL sema ww ndio unatia kauzibe!! ungejaribu ungekuta sahv niko huru na SL.
POPOBAWA.

Ndio maana unataka kunilambisha sumu eh? SL yuko hapa ubavuni ananishikashika sharubu zangu
 
nataka kuanzisha 'JF Povu Day'
ruksa kutoa povu upendavyo
 
Rosti la kuku ama la maini lililopikwa kwa kiwango ! Litakua na taste ipi ? TAMU au CHUNGU ?
Na kufikia kiwango cha ladha itahusika SUKARI au CHUMVI ?
Naomba jibu.

Itakuwa na taste nzuri lakini siyo tamu wala chungu
 
Naihisi uchungu kwenye ulimi wangu so nahitaji kulamba kitu chenye utamu
Hahahahah!
Nitonye mbona umeamua kunivunja mbavu jaman?
Ungeongea na yf wako usiku ule kwa hisani ya warina asali labda angeokoa jahazi lol!
 
Lamba,lamba lamba tatizo kwishiney.Taaaaaaaaaaaaaam kwelikweli
 
Mkuu tafuta mihogo ile mikubwa ya kuchoma ile na kachumbari safi sana.manake najua utaenjoy mwenyewe utasema once more
 
Nitonye una vituko weye kama sura yako ilivyo.
 
Kulamba kitu kitamu itakuchukua muda na itakulazima kufanya kazi ya ziada na jasho likutoke
..sukari ilivyokuwa adimu hata ya kulamba mkuu.....
asali kuipata ni shughuli nyuki wamekuwa wajanja sana siku hizi....
tafuta njia mbadala..

vitu vichungu kama sifongo ndio vinapatikana kwa urahisi zaidi
 
Back
Top Bottom