Nataka kulamba kitu kitamu

Lamba ASALI ya nyuki wa Tabora. The best in Africa South of The Sahara.
 
Si unakumbuka siku ile nilisema nakula asali na masega? Vipo hapa ningekutumia lakini mbali.Dah jaribu tu chumvi, ni tamu ukishameza
 
Ukilamba kitu kitamu haitakusaidia....! @ nitonye

Nenda zahanati,huenda una Malaria...
 
Hujapata yenye kiwango....ulikula yaliyochakachuliwa.Me mwenyewe nakula mpaka napata njaa badala ya kushiba

Masega tatizo lake hayachelewi kukwama kwenye jino na hivyo kujikuta linachokonolewa bora asali yenyewe inateleza unailamba vizuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom