Mkuu hiyo ndio gear yako? Hapa umechemka, ngoja nikukutanishe na gongagonga
nataka kuanzisha 'JF Povu Day'
ruksa kutoa povu upendavyo
Labda tufanye Povu Month maana watu ni wengi mno.nataka kuanzisha 'JF Povu Day'
ruksa kutoa povu upendavyo
Labda tufanye Povu Month maana watu ni wengi mno.
Rosti la kuku ama la maini lililopikwa kwa kiwango ! Litakua na taste ipi ? TAMU au CHUNGU ?
Na kufikia kiwango cha ladha itahusika SUKARI au CHUMVI ?
Naomba jibu.
Hahahahah!Naihisi uchungu kwenye ulimi wangu so nahitaji kulamba kitu chenye utamu
Lamba,lamba lamba tatizo kwishiney.Taaaaaaaaaaaaaam kwelikweli
Naihisi uchungu kwenye ulimi wangu so nahitaji kulamba kitu chenye utamu
hakuna raha kama kulamba meno yako mwenyewe