Nataka kujitoa chadema naomba ushauri

Subiri mkutano ujao wa JK akupe kadi ya CCM....na wewe utangazwe kuwa umejitoa rasmi CHADEMA maana ndio lengo lenu...ila hutapewa mshiko kama Nakaaya
 
Nimeandika hii post ili kuomba ushauri wenu kwa maana kujiondoa CHADEMA ni jambo zito si jambo rahisi kabisa ndio maana nakusudia kupata ushauri wenu ambao naamini utanisaidia kufanya uamuzi sahihi lakini nasikitika kuona mnaojiita great thinkers mmegeuka waropokaji ambao mnashindwa kujenga hoja na kunishauri badala yake mnaongozwa na jazba.................narudia tena kutokana na sababu nilizoziorodhesha hapo juu nakusudia kujitoa CHADEMA naomba ushauri wenu wana JF
Kila unapoleta hoja hunabudi kuwa na taarifa sahihi na weledi wa hoja husika. Mwanachama wa chama kwa miaka 14 halafu huijui katiba ya chama chako? Isome katiba vizuri pima utekelezwaji wake. Usiwe kama jamaa fulani hivi aliyeapa kuilinda na kuihifadhi katiba, baadae akaivunja kwa kiherehere chake cha kuingilia wajibu na mamlaka ya kikatiba kilichopewa chombo kingine (Kusamehe wezi wa fedha za umma ni kuingilia kazi ya mahakama).
Kuhusu ukabila ndugu, watu makini hatudanganyiki. Ati chama aha wachaga sababu tu mwenyekiti mchaga basi chama kina hatia? Waujua fika uongozi wa chadema na suala hili liliongelewa vizuri sana na kaimu katibu mkuu J. Mnyika. Alisema kama ukabila wa chama ni wingi wa viongozi kutoka kabila fulani basi chadema ni ya wasukuma, ndani ya kamati kuu ya chadema kuna wachaga wawili na wasukuma watano.
Mwisho nakuona ni mufilisi wa mawazo na pia hujui hata sheria za ndoa za nchi hii, tafuta sheria uisome na kujua haki na wajibu wa wanandoa. Wajua mwanamke akivunja kiapo cha ndoa anapewa adhabu gani? Mbona CCM hawakumshtaki huyo mwanamke?
 
Huna haja ya kuomba ushauri kwetu kwani wakati unaingia CHADEMA nani alikupa ushauri?Hayo uliyoyasema kuwa yanakufanya utake kuondoka kwangu mimi naona si ya msingi na nakuona ni mtu ambaye umejaa UKABILA na ni mpenda MADARAKA.
Kwa kuwa unataka kuondoka,chukua uamuzi tu na haina haja ya kuanza kutangaza kuwa una mpango wa kuondoka,nenda kimya kimya ukapambane sehemu nyingine,au wataka nawe kuuza sura kama wengine kwa kukabidhiwa kadi?
Ushauri mzuri ni kuondoka tena haraka maana umepoteza vigezo.
 
..............................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................
Wana JF wenzangu nimekuwa mwanachama mtiifu wa CHADEMA tangu 1996 hadi hivi sasa nimevaa gwanda naombea kura chama changu. Licha ya juhudi zote hizi naona viongozi wetu wa CHADEMA hasa Dr slaa na Mbowe wamefanya hiki chama kama self-property just look wamempokea na kumwingiza kwenye kamati kuu Mabere Marando ambaye inajulikana wazi kuwa ni pandikizi la CCM tena aliivuruga NCCR-MAGEUZI, hawa jamaa hatujui hata ruzuku inatumikaje tukihoji tunazibwa mdomo, wameanza kutudhalilisha wanachadema wenzao kwa matendo yao maovu kama kupora wake za watu sasa wote tunaonekana mafuska................sasa nimekusudia kwa dhati kuhama chama hiki niwaache Mbowe na Dr Slaa waendeleze ukabila wao kwa maana hata wakishinda nahofia lugha ya taifa inaweza kuwa kichagga au kimbulu.

Remember Tanzania is first before CHADEMA, CUF&CCM

Wewe ni pandikizi la CCM. Kwanza ni mgeni kabisa humu JF, umetumwa kutuchefua. Mshauri anayekufaa wewe ni aidha Shekh Yahya, Lt. Gen. Shimbo, Kinana, Makamba au REDET kupitia Professor Mkandara!
 
Mtatumwa sana mwaka huu na kibaya zaidi akili zenu kiduchu mno ndio maana mnakuja na propaganda za kitoto kama za Makamba.
 
Wana JF wenzangu nimekuwa mwanachama mtiifu wa CHADEMA tangu 1996 hadi hivi sasa nimevaa gwanda naombea kura chama changu. Licha ya juhudi zote hizi naona viongozi wetu wa CHADEMA hasa Dr slaa na Mbowe wamefanya hiki chama kama self-property just look wamempokea na kumwingiza kwenye kamati kuu Mabere Marando ambaye inajulikana wazi kuwa ni pandikizi la CCM tena aliivuruga NCCR-MAGEUZI, hawa jamaa hatujui hata ruzuku inatumikaje tukihoji tunazibwa mdomo, wameanza kutudhalilisha wanachadema wenzao kwa matendo yao maovu kama kupora wake za watu sasa wote tunaonekana mafuska................sasa nimekusudia kwa dhati kuhama chama hiki niwaache Mbowe na Dr Slaa waendeleze ukabila wao kwa maana hata wakishinda nahofia lugha ya taifa inaweza kuwa kichagga au kimbulu.

Pumbaf kabisa huyo hana point yoyote ya msingi katumwa tu kutuchefua ma think tankers
 
Inavyoonekan wewe lengo lililokufanya ujiunge CHADEMA ni ama umesha lifanikisha au limeshindikana. Mimi nakushauri kwamba wahi upesi ujiunge CCM ulikotoka ili ukapatiwe zawadi ya kanga, fulana yenye picha ya JK, Plau na gunia la ahadi hewa kabla tarehe ya hukumu ya JK hapo 31.10.10.
 
yaani unahamia kwenye meli inayokaribia kuzama ama? nenda ccm utalijua jiji.wewe unakimbia matatizo kama yapo saidia yaishe tuchape mwendo mpk ikulu trh 1 nov
 
Wana JF wenzangu nimekuwa mwanachama mtiifu wa CHADEMA tangu 1996 hadi hivi sasa nimevaa gwanda naombea kura chama changu. Licha ya juhudi zote hizi naona viongozi wetu wa CHADEMA hasa Dr slaa na Mbowe wamefanya hiki chama kama self-property just look wamempokea na kumwingiza kwenye kamati kuu Mabere Marando ambaye inajulikana wazi kuwa ni pandikizi la CCM tena aliivuruga NCCR-MAGEUZI, hawa jamaa hatujui hata ruzuku inatumikaje tukihoji tunazibwa mdomo, wameanza kutudhalilisha wanachadema wenzao kwa matendo yao maovu kama kupora wake za watu sasa wote tunaonekana mafuska................sasa nimekusudia kwa dhati kuhama chama hiki niwaache Mbowe na Dr Slaa waendeleze ukabila wao kwa maana hata wakishinda nahofia lugha ya taifa inaweza kuwa kichagga au kimbulu.

Remember Tanzania is first before CHADEMA, CUF&CCM

Wewe ndio umejipandikiza hapa JF kutaka kushawishi watu waende ccm!! Halafu unaanza kuleta mambo ya kikabila! Wewe ni kama wale wanaoleta mambo ya udini. Acha urubuni wako hapa, wewe ni ccm hilo linajulikana.
 
yaani unahamia kwenye meli inayokaribia kuzama ama? nenda ccm utalijua jiji.wewe unakimbia matatizo kama yapo saidia yaishe tuchape mwendo mpk ikulu trh 1 nov

mi naona ni sawa na kuvuka dimbwi na kutumbukia shimoni
 
Mimi naona kumfukuza kwa matusi si sahihi, mie naona tuziangalie sababu zilizomfanya kutaka au kuomba ushauri wa kujiondoa CHADEMA kama zinamsingi na wengine tufate.
 
Hivi bado tu anataka ushauri tangu asubuhi hajasoma tu ushauri aliopewa na wadau huku? au anataka tumsaidie kufunga mizigo?
 
Nenda tu CCM bado mapema ukapewe kanga na kofia kabla hazijaisha. Hoja zako za ki Makamba.
 
Mbona una-sound kama m-CCM, tena kibaraka wa mafisadi unayemwogopa sana Dr Slaa? Huo ni wimbo wa CCM uliotungwa na mafisadi kwa hofu ya PEOPLE'S POWER. Jaribu mbinu nyingine.
 
Swali. Kwa nini vyombo vya habari humu nchini vimeshupalia kumuita JK Dr??? Au na yeye aonekane msomi kama Dr. Slaa na Lipumba. Samahani nimeenda nje kidogo ya mada.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom