Nataka kufungua shule ya sekondari

Nataka kufungua shule ya sekondari

Kwangu mimi naona ni bora uanzishe shule ya primary Kwa sababu ndizo ambazo zina lipa na wazazi wapo ladhi kulipa ela yoyote ile ili mladi tu watoto wao wawe wanapanda magari ya njano
 



malembeka18 unatuona sie watoto 😃
Mkuu ntakuja kukualika ujue kutembelea biashara zangu ili uamini
 
Taratibu za kuzingatia:
Ukikata kuanzisha shule, nenda ofisi ya afisa elimu sekondari utapata mwongozo sahihi wa kuzingatia ila baadhi tu kwa uchache ni uwepo wa madarasa yasiyopungua manne, maabara zilizokamiliza zenye vifaa zisizopungua tatu, jengo la utawala na viwanja vya michezo.
Usipokidhi vigezo hivyo kupata usajili wa shule ni utata:

Changamoto:
Kikubwa uwe na uwezo wa kusimamia vema shule yako kama zifanyavyo shule za RC na uajiri walimu mahiri wenye kuleta matokeo bora, vinginevyo kama huna uhakika wa kufikia vigezo hivyo, heri uwekeze hela yako kwenye sector nyingine.

Pia biashara ya shule binafsi kwa sasa imeathiriwa na ukata mifukoni mwa wananchi na ukosefu wa future Kwa wasomi waliozaliwa familia zenye uchumi duni hali iliyopelekea mwamko wa wazazi wengi kuacha kupeleka watoto wao shule binafsi.

Maoni:
Bora kuanzisha chuo cha kati kinachotoa fani na taaluma ngazi ya cheti hadi stashahada kuliko kuanzisha shule ya sekondari.
Ushauri Bora

Biashara ya shule tena ya sekondari utaumia Kwa zama hizi.
Fungua chuo
 
  • Thanks
Reactions: K11
Jamaa muongo muongo sana ila atakua na shida mahali ukipitia threads zake utaona sometext missing 😁
Uwongo wangu upi au unataka nije nikualike katika biashara zangu nina petrol station2,nidistributor wa vinywaji kampuni moja kubwa,nastock ng'ombe,Nina godwn ya milling machine,nafanya biashara ya kustock mazao mpunga na mahindi
 
Uwongo wangu upi au unataka nije nikualike katika biashara zangu nina petrol station2,nidistributor wa vinywaji kampuni moja kubwa,nastock ng'ombe,Nina godwn ya milling machine,nafanya biashara ya kustock mazao mpunga na mahindi
Naomba unialike nije nijifunze super businessman
 
Wazo zuri mkuu, pia hongera kwa kuwekeza vijana wapate kazi napendekeza unapofungua shule yako ili kuiongezea ushindani na umaarufu ongeza madarasa kwa ajili ya wanafunzi wenye ulemavu wa akili na usonji (intellectual impairment &Autism) hii si bure au msaada watu wengi wana hela ila hawajui pa kupeleka watoto ,kuna uhaba wa hizi shule aseee hata zilizopo haziko competent na hizo zinazofanya vizuri ni kwa mtaala wa nje na wanalipa Mamilion ya Pesa hadi 12M.

Na serikali yetu watumishi wa huko juu kuanzia watengeneza mitaala hata viongozi wa Elimu kwa kweli wanapiga kazi ila upande wa Elimu maalum wanapuyanga aseee sio kidogo yaan mtu hajui hata cha kufanyašŸ˜‚

Kwenye shule yako pia unaweza kuwa na kituo cha mazoezi tiba (Physiotherapy) kuna watu hawatakua na uwezo wa kulipia ada ila kufanya mazoezi hasa kwa watoto wenye Cerebral palsy ni lazima , utakua na rehabilitation center.

Upande wa Special Education tafuta walimu mahiri, sio sehemu ya watu kutumia nguvu na kukariri kila siku ni kujifunza na kuwa mbunifu.
 
Anazo kweli, atanialika namie nikajifunze biashara
Ambacho hamkijui mfano hiyo biashara ya petrol station margin profit huwa inaanzia 150-240 per Lita ukiwa na uwezo wa kuuza lita kuanzia 3500 utaengeneza pesa nzuri tu,Kwaiyi margin profit huanzia 500,000-1100,000 kwa siku
 
Huu mwandiko sio mmiliki wa kituo cha mafuta. Labda play station
Au unataka uoneshwe bankslip yakulipia mafuta ndo ujue namiliki vituo vya mafuta,watu bana mmevurugwa ndo maana watu wa jf wagumu sana kuweka fursa humu watu wapate rizki
 
Back
Top Bottom