malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,789
- 4,480
- Thread starter
- #21
Kivip ntadoda nayoUtadoda nayo
Kivip ntadoda nayoUtadoda nayo
Wanafunzi siku hizi wanapelekwa za serikali na wazazi wao.Kivip ntadoda nayo
Siunajua mambo usiweke mayai yote kwenye kapu moja,nataka kudirvesifySasa kwanini usistick hapo kwanza mkuu au we ni mtu wa mabiashara mengi 😁
Unamaana wakimaliza English medium wanakweda secondary shule za serikaliWanafunzi siku hizi wanapelekwa za serikali na wazazi wao.
Hongera sana, daycare na nursery naona ndo uhakika kama una huduma nzuri....kama unapokaa zipo unaweza tafuta mahali pengine kama usimamizi upo piaSiunajua mambo usiweke mayai yote kwenye kapu moja,nataka kudirvesify
Sasa mkuu hapa nilipo Kuna English medium 5 kati ya hizo tatu ndo experienced zina miaka7 mbili ndo zimefunguliwa mwaka huu na Kuna nyingine 2 zinajengwa,unanishauri nin katika hiliMkuu safi sana kwa wazo hili zuri, binafsi siwezi kumshauri mtu afungue shule ya secondary as a private school,hailipi sana kwa maisha na mifumo iliyopo kwa sasa,
Kama kweli uko committed ni Bora kuanzisha a primary school,wateja ni wengi sana hasa ikiwa English medium,wateja ni wengi,Anza na nursery school,ukitaka mwongozo nitakuwekea hapa
NdioUnamaana wakimaliza English medium wanakweda secondary shule za serikali
Wazungu hutoka ulaya kuja kuwekeza Tanzania na Africa,sioni tatizo wewe kuhama eneo ulilopo na kwenda kuwekeza eneo tofauti,tafuta location mkuuWazungu Sasa mkuu hapa nilipo Kuna English medium 5 kati ya hizo tatu ndo experienced zina miaka7 mbili ndo zimefunguliwa mwaka huu na Kuna nyingine 2 zinajengwa,unanishauri nin katika hili
Unaamani kama Niko katika wilaya hii nitoke kwenda wekeza wilaya nyinge kabisa ama mkoa mwingineWazungu hutoka ulaya kuja kuwekeza Tanzania,sioni tatizo wewe kuhama eneo ukilopo na kwenda kuwekeza eneo tofauti,tafuta location mkuu
Fungua daycare mkuu utapiga pesa, ada iwe rahisi kulinganisha na hao wapinzani wakoSasa mkuu hapa nilipo Kuna English medium 5 kati ya hizo tatu ndo experienced zina miaka7 mbili ndo zimefunguliwa mwaka huu na Kuna nyingine 2 zinajengwa,unanishauri nin katika hili
Unaweza angalia fursa nyingine sio lazma shule tu, hapo hizo shule nyingi angalia mahitaji yao kisha wewe uwe supplier.... Wanaweza kuwa hata hawana school bus, wewe kaprovide usafiri.Sasa mkuu hapa nilipo Kuna English medium 5 kati ya hizo tatu ndo experienced zina miaka7 mbili ndo zimefunguliwa mwaka huu na Kuna nyingine 2 zinajengwa,unanishauri nin katika hili
Wote hao Wana school busUnaweza angalia fursa nyingine sio lazma shule tu, hapo hizo shule nyingi angalia mahitaji yao kisha wewe uwe supplier.... Wanaweza kuwa hata hawana school bus, wewe kaprovide usafiri.
Unaamani kama Niko katika wilaya hii nitoke kwenda wekeza wilaya nyinge kabisa ama mkoa mwingine
Tenda za kupeleka vyakula je? Mchele hivi?Wote hao Wana school bus
Tenda za kupeleka vyakula je? Mchele hivi?
[/QUOTEtenda mmh sidhani maana Huku vyakula Bei chee maana wao tu wamiliki wanaweza nunua moja kwa moja toka kwa wakulima
Shule za waja nazifahamu Tena kabla yakupandisha huu Uzi nlikua naangalia matokeo ya hizo shule,najuaga nammiliki sjui ndo huyo mwenye kampuni ya waja mabatiYes,unazifahamu shule za waja ambazo ziko geita!? Mkurugenzi wake ni mtu wa Mara,so it is possible,Mimi ni mkazi wa mwanza lakini kwa sasa Niko Lindi kwa ajili ya utafutaji
Hivyo kwenye utafutaji sioni tatizo ku- move for the search of investment
DuhAu Anza na MADRASA