Nataka kufungua shule ya sekondari

Nataka kufungua shule ya sekondari

Mwalimu mz
Wadau nipeni ushauri kwenye sector ya elimu,nataka kufungua secondary vip biashara katika sector ya elimu hasa secondary Ikoje,
taratibu zipi zakufuata kufungua secondary na vigezo Gani vyakuzingatia kudumu kwenye biashara na kupata watoto

Mwalimu mzoefu npo hapa
 
Jamaa muongo sana ila atakua na shida mahali ukipitia threads zake utaona sometext missing ๐Ÿ˜
Huu ni ugonjwa ila sijaujua kitaalamu unaitwaje?
Kuna mzee mmoja yeye anakumbia na anaapa kuwa kwenye kisiwa cha Jersey ana millions of ยฃs
Halafu ana mijengo mingi tu
Mpaka anakuzungusha anakuambia hili jengo langu nimepangisha

Siku kafariki watoto wake walichukua gari lake tu maana hata nyumba aliyokuwa anaishi ilikuwa ni ya serikali

Wapo wengi nimewaona wa hivyo
Hebu niambie ni ugonjwa gani huu
Maana niliwauliza wanae wakasema baba alikuwa anaota mchana
 
Wadau nipeni ushauri kwenye sector ya elimu,nataka kufungua secondary vip biashara katika sector ya elimu hasa secondary Ikoje,
taratibu zipi zakufuata kufungua secondary na vigezo Gani vyakuzingatia kudumu kwenye biashara na kupata watoto
Nione kwa business plan tuone kama wazo lina financial viability
 
Huu ni ugonjwa ila sijaujua kitaalamu unaitwaje?
Kuna mzee mmoja yeye anakumbia na anaapa kuwa kwenye kisiwa cha Jersey ana millions of ยฃs
Halafu ana mijengo mingi tu
Mpaka anakuzungusha anakuambia hili jengo langu nimepangisha

Siku kafariki watoto wake walichukua gari lake tu maana hata nyumba aliyokuwa anaishi ilikuwa ni ya serikali

Wapo wengi nimewaona wa hivyo
Hebu niambie ni ugonjwa gani huu
Maana niliwauliza wanae wakasema baba alikuwa anaota mchana
Possible ni ugonjwa au nini mi sijui....kuna ndugu yangu pia nae mi tangu nipo primary ye yupo chuo hadi leo nakula mishahara ye bado yupo chuo, kuna siku anapiga simu anasema amekua wa kwanza chuo kizima,na sio mara moja huwa anasema chuo anakua wa kwanza.

Sijui ni nati mbovu ndio kind ya huyu mitaji mil 100, 50, 500 ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
wa kike? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Wadau nipeni ushauri kwenye sector ya elimu,nataka kufungua secondary vip biashara katika sector ya elimu hasa secondary Ikoje,
taratibu zipi zakufuata kufungua secondary na vigezo Gani vyakuzingatia kudumu kwenye biashara na kupata watoto
Mkuu! Hongera kwa hilo wazo, kipaumbele chako kiwe ni kutoa huduma, siyo biashara. Hizi shule za binafsi zina changamoto nyingi katika kuziendesha kwa ufanisi. Unaweza ukaenda miaka mingi bila kupata faida, likitokea hilo kama umejikita kwenye biashara/faida unaweza kuacha. Lakini kama umejikita kwenye huduma utatafuta namna ya kuendelea.

Angalizo: simaanishi kwamba kupata faida ni vibaya, bali namaanisha kwamba utoe huduma nzuri faida itakufanya tu.

Hongera.
 
Possible ni ugonjwa au nini mi sijui....kuna ndugu yangu pia nae mi tangu nipo primary ye yupo chuo hadi leo nakula mishahara ye bado yupo chuo, kuna siku anapiga simu anasema amekua wa kwanza chuo kizima,na sio mara moja huwa anasema chuo anakua wa kwanza.

Sijui ni nati mbovu ndio kind ya huyu mitaji mil 100, 50, 500 ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tunapata dhambi jamani daaa
Ni Wehu wa mbali huo
 
Pambana mkuu kila kitu nkujaribu usijalishw na watu wengi watakukatisha tamaa ukiwasikiliza
 
Back
Top Bottom